Rais Samia akutana na ujumbe bodi ya Abbot

RAIS Dk Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Bodi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Abbot Robert Ford pamoja na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es Salaam leo Oktoba 3.(Picha na Ikulu Mawasiliano)