Rais Samia aokoa Sh bilioni 100 kila mwezi

RAIS Samia amepunguza matumizi ya Bandari ya Dar es salaam kutokana na uwekezaji mpya uliofanyika Oktoba 22 2023 kati ya Tanzania na Kampuni ya DP World, kwa takribani Sh bilioni 100 kwa kila mwezi.

Hiyo ni kutoka wastani wa matumizi Sh bilioni 262.153 kati ya mwezi Mei 2023 na Machi 2024, hadi jumla ya matumizi sahihi Sh bilioni 166.323 kati ya mwezi Mei 2024 hadi mwezi Machi 2025.

Habari Zifananazo

One Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button