Rais Samia azungumza uzinduzi Utalii wa Kasa

Rais Dk Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi pamoja na wananchi waliojumuika kwenye halfa ya uzinduzi wa Utalii wa Kasa katika Pango la Salaam, Kizimkazi Dimbani Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar leo Agosti 24.