Rais Samia: Kila goli Yanga Sh milioni 20

RAIS Samia ametangaza kuipa timu ya Yanga sh milioni 20 kwa kila goli itakayofunga kwenye mchezo wa fainali na timu ya USM  Alger itakayochezwa Mei 28, 2023 kwenye uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam na mchezo wa marudio utafanyika nchini Algeria Juni 3, 2023

“Wakati Simba na Yanga zinacheza nilisema kila goli sh milioni 5, Yanga iliposonga mbele nikasema Sh milioni 10 lakini sasa imefika fainli kila goli watakaloshinda nitatoa sh milioni 20.”Amesema

inaenda fainali nilisema milioni 5 waliposogea nikasema milioni 10 timu ikitoka na ushindi timu ikitoka

Aidha ameaidhi kutoa ndege kwa timu hiyo ya Jangwani itakapoenda kucheza mchezo wake wa marudiano.

Zaidi ya hapo nitatoa ndege ya kwenda kwenye mchezo.

 

Habari Zifananazo

Back to top button