Samia ashiriki uapisho wa Rais wa Namibia

RAIS Dk Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya uapisho wa Rais Mteule wa Jamhuri ya Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah iliyofanyika katika Ikulu ya nchi hiyo Windhoek tarehe 21 Machi, 2025.

Rais Nandi-Ndaitwah ni Rais wa kwanza Mwanamke kuchaguliwa katika Taifa filo la Namibia tangu kupata Uhuru wake Machi 21, 1990. (Picha na Ikulu)

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button