Samia atoa miezi sita changamoto ya umeme

RAIS Samia Suluhu Hassan amempa miezi sita Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme (TANESCO) Gissima Nyamo Hanga kusimamia ukarabati wa mitambo ya umeme inayosababisha changamoto ya mgao.

Akizungumza leo Ikulu Dar es Salaam katika hafla ya uapisho wa viongozi wateule, Rais Samia amesema baada ya muda huo asisikie tena shida ya umeme.

“Nenda kaanzie pale Maharage alipofikia, najua utaweza, nakupa miezi sita nakuangalia pale Tanesco, kazi yako ya kwanza ni kusimamia ukarabati wa hiyo mitambo.” Amesema Rais Samia.

Rais Samia ametaja sababu inayopelekea uwepo wa changamoto ya umeme kuwa ni mitambo kwa muda mrefu haijafanyiwa huduma na kwamba itafanyiwa huduma kwa pamoja na ni lazima mitambo mingine iwake mingine izime, “kwahiyo tuna upungufu wa umeme.” Amesema Rais Samia.

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
2 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Catherinenglish
Catherinenglish
2 months ago

I am now making more than 350https://s.w.org/images/core/emoji/14.0.0/svg/1f4b0.svg dollars per day by working online from home without investing any money.Join this link posting job now and start earning without investing or selling anything……. 
🙂 AND GOOD LUCK.:)..____ http://Www.Careers12.com

Last edited 2 months ago by Catherinenglish
juliya
juliya
2 months ago

I basically make about $14,000 to $18,000 a month online. It’s enough to comfortably replace my old jobs income, especially considering I only work about 10-13 hours a week from home. I was amazed how easy it was after I tried it copy below web…
HERE ——–> http://Www.Smartwork1.com

Last edited 2 months ago by juliya
Back to top button
2
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x