Samia: India ni mshirika mkubwa katika Biashara

INDIA: RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania inajivunia ushirikiano uliopo na taifa la India kutokana na manufaa makubwa ya ushirikiano huo.
Rais Samia ameeleza hayo Oktoba 9, 2023 akiwa nchini India ambapo yupo katika ziara ya kikazi nchini humo.
Samia amesema mbali na mafanikio yaliyopatikana katika sekta mbalimbali lakini katika sekta ya biashara Tanzania inajivunia kukuwa kwa sekta hiyo.
“Tumekuwa tukifanya kazi kwa pamoja katika sekta mbalimbali, kuhusu biashara namba inaridhisha na imekuwa kwa kiasi kikubwa, na thamani ya miradi inaongezeka ,hii inaifanya India kuwa mwekezaji wa tatu mkubwa katika sekta ya biashara Tanzania.” amesema Rais Samia
Aidha Rais Samia amesema ziara hiyo ya nchini India ni kuonesha utayari wa Tanzania kuendelea na ushirikiano ulipo baina ya mataifa hayo mawili na kuahidi kuendelea kufanya kazi kwa karibu na taifa hilo.

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
4 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Katiba Mpya - NEC UCHANGUZI LEO
Katiba Mpya - NEC UCHANGUZI LEO
1 month ago

NEC UCHANGUZI LEO

Nani anafaa KUWA RAIS wa Tanzania mzungu kulipa fadhila za OBAMA KUWA RAIS WA MAREKANI NA Greg Fergus SPIKA WA CANADA WA SASA!? – Hongera kwa kuzaa kizazi kisichojihusisha na SIASA

Capture.JPG
Katiba Mpya - NEC UCHANGUZI LEO
Katiba Mpya - NEC UCHANGUZI LEO
1 month ago

NEC UCHANGUZI LEO..

Nani anafaa KUWA RAIS wa Tanzania mzungu kulipa fadhila za OBAMA KUWA RAIS WA MAREKANI NA Greg Fergus SPIKA WA CANADA WA SASA!? – Hongera kwa kuzaa kizazi kisichojihusisha na SIASA

Capture1.JPG
Katiba Mpya - NEC UCHANGUZI LEO
Katiba Mpya - NEC UCHANGUZI LEO
1 month ago

NEC UCHANGUZI LEO

Nani anafaa KUWA RAIS wa Tanzania mzungu kulipa fadhila za OBAMA KUWA RAIS WA MAREKANI NA Greg Fergus SPIKA WA CANADA WA SASA!? – Hongera kwa kuzaa kizazi kisichojihusisha na SIASA/

Capture.JPG
Katiba Mpya - NEC UCHANGUZI LEO
Katiba Mpya - NEC UCHANGUZI LEO
1 month ago

NEC UCHANGUZI LEO

Nani anafaa KUWA RAIS wa Tanzania mzungu kulipa fadhila za OBAMA KUWA RAIS WA MAREKANI NA Greg Fergus SPIKA WA CANADA WA SASA!? – Hongera kwa kuzaa kizazi kisichojihusisha na SIASA?

Capture1.JPG
Back to top button
4
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x