Sendeka awashtaki askari ukuta wa Magufuli

MBUNGE wa Simanjiro,Christopher Ole Sendeka amewashitaka askari wa geti la ukuta wa Magufuli kuwa wanafanya upekuzi uliopitiza na kufanya wachimbaji hao kutoka usiku mnene hadi kufika saa 7 na saa 8 usiku hatua ambayo ni unyanyasaji hivyo naomba utoe maelekezo hali hiyo ikome.

Habari Zifananazo

Back to top button