Serikali yasisitiza ujenzi vituo vya polisi

PWANI: Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Ayoub Mohammed Mahmoud, ametoa wito kwa wadau wa maendeleo na wabunge kuendelea kuunga mkono juhudi za Serikali kuimarisha miundombinu ya usalama, ikiwemo ujenzi wa vituo vya polisi.

Akizungumza mara baada ya ukaguzi wa Mradi wa Kituo Kipya cha Polisi chenye hadhi ya daraja B, wilayani Kibiti mkoani Pwani, Ayoub alisema pamoja na Serikali kuendelea na mpango wa ujenzi wa vituo vya polisi kwa awamu kulingana na upatikanaji wa fedha, ushiriki wa wadau na wabunge unaweza kuongeza kasi ya utekelezaji wa miradi hiyo muhimu ya kiusalama.

Ameeleza kuwa kila jimbo lina mahitaji ya vituo vya polisi, hivyo ni muhimu kwa wabunge kutumia sehemu ya fedha za mifuko ya majimbo kusaidia ujenzi au ukamilishaji wa vituo katika maeneo yenye uhitaji mkubwa.
Ameongeza kuwa ushirikiano kati ya Serikali, wabunge, wadau wa maendeleo na wananchi utawezesha kupunguza changamoto kwa baadhi ya maeneo yenye umbali wa wananchi kufuata huduma za hizo.





I get paid over (90$ to 200$ / hour ) working from home with 2 kids at home. I never thought I would be able to do it but my best friend earns over $18000 a month doing this and she convinced me to try. it was all true and has totally changed my life… This is what I do, check it out by Visiting Following web….
.
HERE——————————————⊃⫸ https://Www.Cash54.Com
I get paid over 220 Dollars per hour working from home with 2 kids at home. i never thought i’d be able to do it but my best friend earns over 15k a month doing this and she convinced me to try. it was all true and has totally changed my life. This is what I do, check it out by Visiting Following Website…
.
More Details For Us→→→→→→→→→ https://Www.Payathome9.Com