Shangwe autaka ubunge jimbo la Arumeru Mashariki

ARUSHA: NAIBU Katibu wa Habari Uenezi na Mahusiano na Umma ACT Wazalendo, Shangwe Ayo Chikala amechukuwa fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Arumeru Mashariki.
Shangwe amechukua fomu kwenye ofisi za Jimbo hilo zilizopo Tengeru Arusha leo Mei 18, 2025.
SOMA ZAIDI: ACT Wazalendo kutoa nafasi kwa wanawake