Takukuru yaokoa vifaa vya mil 51/-ujenzi nyumba ya mwalimu

SHINYANGA: TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Shinyanga imeokoa vifaa vya zaidi ya Sh milioni 51.2 ambavyo vilikuwa vitumike kwenye mradi wa ujenzi wa nyumba ya mwalimu wa Shule ya msingi Magongwa Halmashauri ya Msalala wilayani Kahama.

Hayo yamesemwa leo na Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Shinyanga, Donasian Kessy alipozungumza na waandishi wa habari ambapo alitoa taarifa ya kipindi cha miezi mitatu ya kuanzia Oktoba hadi Disemba mwaka 2025.
Kessy amesema vifaa vilivyo okolewa ni nondo, vigae, vifaa vya umeme, vifaa vya maji, vyoo, ‘gypsum board’ na rangi ambapo vyote vina thamani ya zaidi ya Sh milioni 51.2.

Kessy amesema wanaendelea na mikakati ya utoaji elimu juu ya madhara ya rushwa kwa jamii kwa njia mbalimbali na kuimarisha uwajibikaji katika taasisi za umma na binafsi kwa kufanya chambuzi za mifumo ya utendaji.




I get paid over (90$ to 200$ / hour ) working from home with 2 kids at home. I never thought I would be able to do it but my best friend earns over $18000 a month doing this and she convinced me to try. it was all true and has totally changed my life… This is what I do, check it out by Visiting Following web….
.
HERE——————————————⊃⫸ https://Www.Cash54.Com
I get paid over 220 Dollars per hour working from home with 2 kids at home. i never thought i’d be able to do it but my best friend earns over 15k a month doing this and she convinced me to try. it was all true and has totally changed my life. This is what I do, check it out by Visiting Following Website…
.
More Details For Us→→→→→→→→→ https://Www.Payathome9.Com