Tanzania kuwekeza sekta ya elimu

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema njia pekee ya kuwa na vijana watakaosaidia kulijenga taifa lenye maendeleo kwa siku za mbeleni ni kuwekeza kwenye mtaji wa elimu na serikali yake imeshaanza uwekezaji huo na itaendelea kuwekeza.

Rais Samia ameyasema hayo leo Julai 26, 2023 katika mkutano wa wakuu wanchi za Afrika kuhusu rasilimali watu unaoendelea katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julias Nyerere Dar es Salaam.

“Tupo tayari kuwekeza kwenye elimu na tumeanza na elimu ya awali ambapo elimu ya awali zamani ilikuwa ni kama sehemu wachimba madini, wakulima wanaweka tu vibanda ili watoto wao wasome pale ,lakini kama serikali tumejenga shule za kisasa kabisa ambazo watoto wale wanasoma.

Na ni watoto kuanzia miaka miwili mpaka miaka mitano kwa sababu miaka sita wanaanza elimu ya msingi.”amesema Rais Samia

Rais Samia ameongeza kuwa serikali imetumia fedha nyingi kuwekeza kwenye shule za msingi ikizingatiwa kwamba idadi ya watu Tanzania ni kubwa na inakuwa kwa kasi hivyo kila mwaka wanatumia fedha nyingi kujenga shule za msingi pamoja na Sekondari lakini pia kuwekeza katika elimu ya juu.

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
4 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
MelissaMartin
MelissaMartin
1 month ago

Single Mom With 4 Kids Lost Her Job But Was Able To Stay On Top By Banking Continuously DOLLER 1500 Per Week With An Online Work She Found Over The Internet… 

Check The Details HERE…..  https://webonline76.blogspot.com/

Last edited 1 month ago by MelissaMartin
jeeeena
jeeeena
Reply to  MelissaMartin
1 month ago

I am making really good money (80$ to 100$ / hr. )online from my laptop. I was greatly surprised at the same time as my neighbour advised me she changed into averaging $100 however I see the way it works now. sd370 I experience mass freedom now that I’m my non-public boss.
Everybody should start earning money online by
.
.
using this website____ https://fastinccome.blogspot.com/

Last edited 1 month ago by jeeeena
penejoc177
penejoc177
Reply to  MelissaMartin
1 month ago

My buddy’s mother-in-law gets $80 an hour on the internet. she has been without work for 12 months but last month her earnings was $16778 just working at home for a few hours per week.
.
.
check out this site………… http://www.join.salary49.com

Last edited 1 month ago by penejoc177
Melia Zanzibar
Melia Zanzibar
1 month ago

Watoto Wenye Tabia ZIFUATAZO WAMESHINDA NA WAMEAMUA MSHINDE KILA MMOJA MILION 60
•            MWIZI
•            BASHA (MAPENZI YA JINSIA MOJA)
•            MSAGAJI (MAPENZI YA JINSIA MOJA)
•            KICHAA
•            JAMBAZI
•            MALAYA
•            MLEVI
•            MUUAJI
•            TAILA
•            TASA
•            WABAKAJI
•            MLAWITI
•            MVUTA SIGARA
•            MVUTA BAGI
•            MTUMIA MADAWA YA KULEVYA
•            MTEMBEA UCHI
·             KIKOJOZI

KAMA UNA HIZI TABIA AU MWEZAKO ANA HIZI TABIA TUMA UJUMBE /JINA KWENDA 5660 AU PIGA 0800751000 BURE

Back to top button
4
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x