Tanzania yaikanda Rwanda shule za Afrika

TIMU ya wasichana chini ya miaka 15 imeanza mashindano ya Ubingwa wa Shule za Afrika inayofanyika Uganda kwa kishindo baada ya kuikanda Rwanda kwa mabao 5-1.

Hata hivyo kwa upande wa wavulana, Tanzania imeshindwa kutamba mbele ya Burundi baada ya kupoteza kwa mikwaju ya penalti 5-4.

WASICHANA

TanzaniaU15 🇹🇿5️⃣-1️⃣ 🇷🇼 RwandaU15
⚽⚽Helena Hamis
⚽ Bahati Steven
⚽ Elizabeth John
⚽ Neema Thomas

 

WAVUALANA
Tanzania 🇹🇿0️⃣-0️⃣ 🇧🇮Burundi
P(4-5)

Habari Zifananazo

Back to top button