TBL yaja na mpango kulinda rasilimaji za maji

DAR ES SALAAM: Kiwanda cha Tanzania Breweries Limited (TBL) kimeweka mkakati wa kupunguza matumizi ya maji katika uzalishaji wa bia na kuhakikisha maji yote yanayotumika yanachakatwa kabla ya kurejeshwa kwenye mazingira.
Mpango huo unalenga kulinda rasilimali za maji na viumbe hai, pamoja na kuhakikisha vyanzo vinaendelea kuwa salama na endelevu kwa manufaa ya kizazi cha sasa na kijacho.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Machi 26, 2026, wakati wa shughuli ya kusafisha mfereji unaotiririsha maji kutoka Mchikichini kuelekea Mto Msimbazi, Meneja wa Kiwanda cha TBL Dar es Salaam, Patel Kilaveli, amesema kampuni hiyo inatambua wajibu wake katika uhifadhi wa maji.
“Kama watumiaji wakubwa wa maji, tuna wajibu wa kushiriki kikamilifu katika juhudi za kuhifadhi rasilimali hii muhimu, kwa kuwa kinywaji tunachotengeneza kinatokana na maji asili,” amesema Kilaveli.
Amesema maadhimisho ya Siku ya Maji Duniani yamekuwa fursa ya kutafakari matumizi sahihi ya maji.
“Tumeungana na wadau wengine kutafakari namna bora ya kuhifadhi maji. Kwa kuwa uzalishaji wetu unategemea maji safi, ni muhimu kuyatunza na kuyarejesha salama ili yaendelee kupatikana,” amesema
Kilaveli amesema TBL inalenga kufikia mwaka 2030 kupunguza zaidi kiwango cha maji kinachotumika kuzalisha bia moja, akibainisha kuwa tayari hatua kubwa zimepigwa kuelekea lengo hilo.

Mbali na hatua hizo, kampuni hiyo pia inaunga mkono juhudi za jamii katika kulinda vyanzo vya maji kwa kushirikiana na taasisi nyingine kupitia miradi ya kijamii inayohamasisha uhifadhi wa mazingira.
“Tunawawezesha wakazi wa Ruvu, Kibaha mkoani Pwani kujihusisha na ufugaji nyuki kama njia mbadala ya kipato inayochangia uhifadhi wa mazingira,” amesema.
Kwa upande wa uwekezaji, Kilaveli amesema kiwanda hicho kimewekeza zaidi ya Sh2bilioni katika mifumo ya kisasa ya kuchakata maji taka.
“Tunahakikisha maji yote yanayotoka kiwandani hayaleti madhara kwa mazingira, viumbe hai na binadamu,” amesema.
Kwa upande wake, mwakilishi wa Wilaya ya Ilala, Adrian Kishe, ameipongeza TBL kwa kuboresha miundombinu ya majitaka.
“Kuna mabadiliko makubwa ukilinganisha na miaka ya nyuma, lakini bado ni muhimu wananchi kushiriki kikamilifu katika kulinda mazingira,” amesema Kishe.
Naye Mkuu wa Kitengo cha Maliasili na Mazingira wa Jiji la Dar es Salaam, Teresia Denis, amesema uhifadhi wa mazingira ni msingi wa upatikanaji wa maji safi na salama.
“Tunapongeza mchango wa wadau mbalimbali, wakiwemo TBL, katika kulinda mazingira na vyanzo vya maji,” amesema Denis.
Amesema mfereji wa Mchikichini unaoelekea Mto Msimbazi unakabiliwa na changamoto ya utupaji holela wa taka.
“Mfereji huu unapita katika maeneo ya makazi, hivyo unakumbwa na utupaji wa taka ovyo unaochangia uharibifu wa mazingira,” amesema.
Mkurugenzi wa kampuni ya ukusanyaji taka ya Kajenjele, Methew Andrew, amesema umuhimu wa usafi hasa wakati wa mvua za masika.
“Jamii inahitaji kuelimishwa zaidi kuhusu utunzaji na utenganishaji wa taka ili kupunguza athari za mazingira,” amesema.
Naye Mjumbe wa eneo la Mission Quarter, Muheza B. Mchikichini, Frank Subiri, ameshauri kuboreshwa kwa miundombinu ya mfereji huo.
“Mfereji umejaa mchanga na kusababisha maji kufurika hadi kwenye makazi ya watu, hivyo maboresho ni muhimu ili kudhibiti hali hii,” amesema Subiri.

William Harvey made a groundbreaking discovery about how the human body works. Before his time, people believed blood was constantly produced and used up by the body.
Harvey showed that:
The heart acts as a pump
Blood moves in a continuous circuit around the body
It travels through arteries and veins and returns back to the heart
In 1628, he published his findings in a book called De Motu Cordis (which means “On the Motion of the Heart and Blood”).
This discovery was a huge step because it:
Changed how scientists understood the human body
Laid the foundation for modern physiology and medicine
Helped doctors better understand diseases and treatments
JOIN US Everybody can earn 250/h Dollar + daily 1K… You can earn from 12000-16700 Dollar a month or even more if you work as a part time job…It’s easy, just follow instructions on this page, read it carefully from start to finish… It’s a flexible job but a good earning opportunity. tab for more detail thank you……..
.
This is my main concern…………………… http://Www.Cash54.Com
I just came across this amazing way to earn $11,000-$15,000 a month online! No selling, no struggle—just a simple system that anyone can follow. Mia Westbrook did it, and so can you! Don’t miss out on this life-changing opportunity.
.
This is what I do…………………… http://Www.Payathome9.Com
William Harvey made a groundbreaking discovery about how the human body works. Before his time, people believed blood was constantly produced and used up by the body.
Harvey showed that:
The heart acts as a pump
Blood moves in a continuous circuit around the body
It travels through arteries and veins and returns back to the heart
In 1628, he published his findings in a book called De Motu Cordis (which means “On the Motion of the Heart and Blood”).
This discovery was a huge step because it:
Changed how scientists understood the human body
Laid the foundation for modern physiology and medicine
Helped doctors better understand diseases and treatments.

Helped doctors better understand diseases and treatments..