Tetesi za usajili Ulaya
‘FOOTBALL Insider’ imeripoti Manchester City wanataka £50m ili kumuachia kiungo Bernado Silva.
Andre Onana amekataa ofa kutoka Saudia na inaonekana kama anataka kujiunga na Manchester United (90 Minutes).
Arsenal wanakaribia kumtangaza kiungo Declan Rice baada ya mazungumzo kati ya timu hiyo na West Ham kuafikiwa jana. Mazungumzo hayo ni kuhusu namna ya ulipaji wa £105m ambayo ni ada ya uhamisho ya Mwingereza huyo. Mwandishi wa habari za michezo, Fabrizio Romano ameripoti.
Arsenal pia inajiandaa kumpa mkataba mpya beki William Saliba, ambapo kwa mujibu wa Fabrizio Romano mkataba huo utaisha mwaka 2027.
Kipa wa Brighton Robert Sanchez, 25, anawindwa na Manchster United.
pharmacy
The Mail imeripoti.