Tito Jackson afariki dunia

MWANAMUZIKI kutoka Marekani Tito Jackson amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 70.
Tito Jackson anafahamika zaidi kwa sababu ya kuwa miongoni mwa wanafamilia kwenye ”The Jackson 5” ambayo inaundwa na Jackie, Tito, Jermaine, Marlon na Michael ambaye wengi wetu ndiyo tunamfahamu zaidi.
SOMA: Tina Tuner afariki Dunia

Taarifa za kiof chake zilithibitishwa katika chapisho la Instagram Jackson3 ambao ni Jackson, Taj, Taryll na TJ Jackson, ambao walikuwa watatu wa R’n’B/pop, 3T, miaka ya 1990.
“Tumeshtuka, tumehuzunishwa na kuumizwa moyo,” waliandika. “Baba yetu alikuwa mtu wa ajabu ambaye alijali kila mtu na ustawi wao,”
“Tafadhali kumbuka kufanya yale ambayo baba yetu alihubiri kila wakati na hiyo ni ‘Tupendane’. Tunakupenda Pops.”

Nyimbo za Jackson 5 ni pamoja na ABC, The Love You Save na I Want You Bac
SOMA: Musk afunguliwa mashtaka malezi ya watoto



