Ujenzi kiwanda cha kuunganisha Matrekta

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la Msingi la ujenzi wa Kiwanda cha kuunganisha Matrekta katika eneo la Nzuguni wakati wa Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Nanenane, tarehe 08 Agosti, 2024.