Ujenzi wa Daraja la Liweta-Masuku

Muonekano wa Daraja la Liweta-Masuku, Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma linalojengwa na Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) ambapo ujenzi wake umekamilika kwa zaidi ya asilimia 98. (Picha na Muhidin Amri).