Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega leo Januari 11 amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu Mkoa wa Lindi, Zainab Telack, kuhusu miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika Mkoa huo.
Waziri Ulega yupo mkoani Lindi kwa ziara ya siku mbili ambapo atakagua miradi ya barabara na madaraja ikiwemo Barabara ya Nachingwea-Ruangwa-Nanganga (km 106).(Picha na Wizara ya Ujenzi)