Uongozi Muhimbili wajadili usimamizi vyumba vya maiti

UONGOZI wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) leo Oktoba 4,2023 umekutana na Kamishna Msaidizi wa Kamisheni ya Uchunguzi wa Sayansi Jinai (Forensic Bureau), Msaidizi wa Kamishna Mkuu wa Upelelezi-Kanda Maalumu ya Dar es Salaam na Mganga Mkuu wa Mkoa Dk Rashid Mfaume ili kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano ikiwemo usimamizi wa vyumba vya kuhifadhi maiti.

Akifungua kikao hicho Mkurugenzi Mtendaji wa MNH Prof. Mohamed Janabi amesema Hospitali ina majokofu 16 yenye uwezo wa kuhifadhi maiti 64 ambapo kila jokofu hubeba maiti nne ambapo kwa sasa inafanyiwa ukarabati mkubwa uliohusisha ununuzi wa majokofu mapya ya kisasa yenye uwezo wa kuhifadhi jumla ya maiti 99.

Amesema, tayari majokofu saba yamewasili ambayo kila moja lina uwezo wa kubeba maiti sita sawa na jumla ya maiti 42.
“Majokofu mengine 11 yenye uwezo wa kuchukua maiti 57 yanatarajiwa kuwasili katikati ya mwezi wa Novemba mwaka huu.”Amesema.

Prof. Janabi amesema ni muhimu taasisi hizo kushirikiana katika suala la utunzaji wa maiti zile zinazohitaji uchunguzi wa sababu za kifo (medical legal postm Vicky Kimaro

UONGOZI wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) leo Oktoba 4,2023 umekutana na Kamishna Msaidizi wa Kamisheni ya Uchunguzi wa Sayansi Jinai (Forensic Bureau), Msaidizi wa Kamishna Mkuu wa Upelelezi-Kanda Maalumu ya Dar es Salaam na Mganga Mkuu wa Mkoa Dk Rashid Mfaume ili kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano ikiwemo usimamizi wa vyumba vya kuhifadhi maiti.

Akifungua kikao hicho Mkurugenzi Mtendaji wa MNH Prof. Mohamed Janabi amesema Hospitali ina majokofu 16 yenye uwezo wa kuhifadhi maiti 64 ambapo kila jokofu hubeba maiti nne ambapo kwa sasa inafanyiwa ukarabati mkubwa uliohusisha ununuzi wa majokofu mapya ya kisasa yenye uwezo wa kuhifadhi jumla ya maiti 99.

Amesema, tayari majokofu saba yamewasili ambayo kila moja lina uwezo wa kubeba maiti sita sawa na jumla ya maiti 42.
“Majokofu mengine 11 yenye uwezo wa kuchukua maiti 57 yanatarajiwa kuwasili katikati ya mwezi wa Novemba mwaka huu.”Amesema

Prof. Janabi amesema ni muhimu taasisi hizo kushirikiana katika suala la utunzaji wa maiti zile zinazohitaji uchunguzi wa sababu za kifo (medical legal postmortem) kulingana na eneo mwili huo ulipotokea ili kupunguza msongamano na kushirikiana katika kubeba gharama za uendeshaji.

Katika hatua nyingine Prof. Janabi amesema kuwa MNH iko tayari kutoa watalaamu kwenda kufanya uchunguzi katika maeneo husika na kuwajengea uwezo.

Kwa upande wake Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Dkt. Rashid Mfaume amesema kuwa hakuna haja ya maiti kutoka sehemu mbalimbali za mkoa kupelekwa MNH kwani Hospitali za rufaa za Mkoa na za Wilaya zina uwezo wa kuhifadhi maiti zisizopungua 85.

DKt. Mfaume amewataka Waganga Wakuu wa Hospitali Rufaa za Mkoa na Wilaya kushirikiana na MNH kuhakikisha huduma za kuhifadhi maiti na uchunguzi katika maeneo yao unaimarishwa kufuata viwango na ubora unaotakiwa
ortem) kulingana na eneo mwili huo ulipotokea ili kupunguza msongamano na kushirikiana katika kubeba gharama za uendeshaji.

Katika hatua nyingine Prof. Janabi amesema kuwa MNH iko tayari kutoa watalaamu kwenda kufanya uchunguzi katika maeneo husika na kuwajengea uwezo.

Kwa upande wake Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Dkt. Rashid Mfaume amesema kuwa hakuna haja ya maiti kutoka sehemu mbalimbali za mkoa kupelekwa MNH kwani Hospitali za rufaa za Mkoa na za Wilaya zina uwezo wa kuhifadhi maiti zisizopungua 85.

DKt. Mfaume amewataka Waganga Wakuu wa Hospitali Rufaa za Mkoa na Wilaya kushirikiana na MNH kuhakikisha huduma za kuhifadhi maiti na uchunguzi katika maeneo yao unaimarishwa kufuata viwango na ubora unaotakiwa

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
3 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
VirginiacGehee
VirginiacGehee
1 month ago

I’ve gained only within four weeks by comfortably working part-time from home. Immediately when I had lost my last business, mtg I was very troubled and thankfully
following website___________ http://Www.Careers12.com

Last edited 1 month ago by VirginiacGehee
MadelineEmma
MadelineEmma
1 month ago

★ Join this most wonderful and cool online home based job and start making more than $700 every day. I made $24583 last month, ( a55q) which is incredible, and I strongly encourage you to join and begin earning money from home. Simply browse to this website now for more information.
Click and Copy Here═══►►► http://Www.SmartCareer1.com

money
money
1 month ago

WAZEE WA KULA JICHO HUWA MNATUMIA MBOOO SIZE GANI KUINGIZA KWENYE JICHO

file:///C:/Users/User/AppData/Local/Temp/msohtmlclip1/01/clip_image002.jpg

Capture.JPG
Back to top button
3
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x