Usajili 2024: Chama amwaga wino Jangwani

DAR ES SALAAM – Klabu ya Yanga imekamilisha usajili wa kiungo wa Kimataifa wa Zambia Clatous Chama.

Chama anajiunga na Yanga akiwa mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba wake na Simba.

Hili ni pigo kwa Simba kwani walikuwa wakipambana kumbakisha nyota huyo kikosini lakini wamekwama.

Unaweza kusema baada ya kuiota ndoto ya kuwa na Chama kwa muda mrefu hatimae Yanga wametimiza ndoto yao

Habari Zifananazo

Back to top button