Wageni AFCON kunufaika mfumo malipo ya kidijitali

DAR ES SALAAM: Wananchi na wageni watakaoingia nchini wakati wa mashindano ya AFCON watanufaika na kurahisishwa kwa huduma za mafuta, gesi na mahitaji mengine ya magari kupitia mfumo wa malipo ya kidijitali unaolenga kuongeza usalama na kurahisisha usimamizi wa matumizi.
Kampuni ya TotalEnergies Marketing Tanzania imezindua mfumo mpya wa kadi za malipo za kidijitali utakaotumika katika vituo vyake 130 vilivyosambaa nchini, ukiwawezesha wateja kulipia huduma mbalimbali kupitia mfumo mmoja.
Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, Mkurugenzi wa Sheria na Uhusiano wa kampuni hiyo, Getrude Mpangile, amesema mfumo huo umeboreshwa ili kuwawezesha wateja kulipia mafuta, gesi, huduma za kubadilisha mafuta ya injini na kuosha magari.

Amesema kupitia programu ya TotalEnergies Mobility, watumiaji wataweza kufuatilia miamala na matumizi yao kwa wakati, hatua inayolenga kuongeza uwazi na udhibiti wa matumizi.
Mfumo huo pia unaendana na juhudi za kukuza matumizi ya teknolojia katika sekta binafsi na kuboresha utoaji wa huduma, sambamba na malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 ya kuimarisha uchumi, kuvutia uwekezaji na kupanua fursa za biashara.
Kwa upande wao, watumiaji wa kadi hizo, Nishit Mdessa na Thabit Binzou, wamesema mfumo huo unarahisisha usimamizi wa matumizi, kuongeza usalama na kupunguza uwezekano wa matumizi ya mafuta yasiyoidhinishwa.
Wamesema mfumo huo unatarajiwa kuwa na manufaa kwa wasafiri na wadau wa utalii, hususan katika kipindi cha AFCON, ambapo idadi ya wageni na mahitaji ya huduma za usafiri yanatarajiwa kuongezeka.




Mfumo huu wa kadi za malipo za kidijitali katika vituo 130 vya TotalEnergies unaweza kurahisisha sana matumizi ya mafuta na gesi kwa wageni wa AFCON. Pia, kuongeza usalama na kurahisisha usimamizi wa matumizi ni hatua muhimu kwa safari zisizo na usumbufu.
Mfumo huu wa kadi za malipo za kidijitali katika vituo 130 vya TotalEnergies unaweza kurahisisha upatikanaji wa mafuta na gesi kwa wageni wa AFCON. Pia, kuongeza usalama na kurahisisha usimamizi wa matumizi ni hatua muhimu katika kuboresha huduma wakati wa mashindano.
Mfumo huu wa kadi za malipo za kidijitali katika vituo 130 vya TotalEnergies ni hatua nzuri kwa wageni na wananchi, hasa kwa kurahisisha malipo ya mafuta na kuongeza usalama wakati wa AFCON.
Mfumo huu wa kadi za malipo za kidijitali katika vituo 130 unaweza kurahisisha sana huduma kwa wageni na wananchi wakati wa AFCON. Pia, utaongeza usalama na uwazi katika usimamizi wa matumizi ya mafuta na mahitaji mengine ya magari.
Mfumo huu wa kadi za malipo za kidijitali katika vituo 130 vya TotalEnergies unaweza kurahisisha sana upatikanaji wa mafuta na gesi kwa wageni wa AFCON. Pia, kuimarisha usalama na usimamizi wa matumizi ni hatua muhimu kwa huduma bora wakati wa mashindano.
Mfumo huu wa kadi za malipo za kidijitali katika vituo 130 vya TotalEnergies unaweza kurahisisha sana upatikanaji wa mafuta na gesi kwa wageni wa AFCON, huku ukiboresha usalama na ufuatiliaji wa matumizi.
Mfumo huu wa kadi za malipo za kidijitali katika vituo 130 vya TotalEnergies unaweza kurahisisha sana upatikanaji wa mafuta na gesi kwa wageni wa AFCON. Pia, hatua hii itasaidia kuongeza usalama na udhibiti wa matumizi wakati wa mashindano.
Mfumo huu wa kadi za malipo za kidijitali katika vituo 130 ni hatua muhimu kwa usalama na urahisi wa huduma za mafuta, gesi na mahitaji ya magari kwa wageni wa AFCON.