Watumishi 7 halmashauri kizimbani uhujumu uchumi

KATAVI; Mpanda. TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Katavi imewafikisha katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Katavi, watumishi 7 kwa tuhuma za wizi wa fedha kiasi cha zaidi ya Sh bilioni 1. 23.

Kesi hiyo ya uhujumu uchumi namba 5 ya mwaka 2023, imetajwa mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Gway Sumaye na mwendesha mashtaka Gregory Mhangwa, ambapo amesema watuhumiwa hao wanashitakiwa kwa makosa matatu ya kujihusisha na genge la uhalifu, uhujumu uchumi na wizi.

Mhangwa ameeleza kuwa washitakiwa hao walishirikiana kutenda makosa hayo kati ya Novemba 1, 2022 hadi Agosti 11, 2023 huko katika Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe kwa kudanganya kuwa walikuwa wakiwalipa wakandarasi waliofanya kazi katika Halmashauri hiyo kiasi cha Sh 1,232,408,689 na kuisababishia hasara halmashauri.

Waliopandishwa kizimbani ni Canuthe Matsindiko (41), ambaye ni Ofisa TEHAMA kutoka Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda, Michael Katanga (31), Mhasibu wa Halmashauri ya Mpimbwe, Tamaini Misese (47), aliyekuwa Ofisa TEHAMA Mkoa wa Katavi na Maira Samson Olumba (38), Ofisa Manunuzi wa Halmashauri ya Mpimbwe.

Wengine ni Emmanuel Damas Saranga (37) Mhasibu katika Halmashauri ya Mpimbwe, Masami Andrew Mashauri (49) Mhasibu katika Halmashauri ya Mpimbwe na Laurent William Sunga (33) Mhasibu katika Halmashauri ya Mpimbwe.

Washitakiwa wote hawakutakiwa kujibu chochote kwa kuwa mahakama hiyo haina mamlaka ya kusikiliza kesi hiyo na washitakiwa wote wamerudishwa rumande hadi Septemba 4, 2023 kesi hiyo itakapotajwa tena katika Mahakama kuu Kanda ya Sumbawanga.

Imeandaliwa na Swaum Katambo

Tembelea //epaper.tsn.go.tz kusoma zaidi.

una maoni usisite kutuandikia

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
9 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
SarannaShyla
SarannaShyla
1 month ago

Google paid 99 dollars an hour on the internet. a56 Everything I did was basic Οnline work from comfort at home for 5-7 hours per day that I got from this office I found over the web and they paid me 100 dollars each hour. For more details
visit this article————–——>> http://www.SmartCash1.com

Chukua kifo hichooo
Chukua kifo hichooo
1 month ago

Mandonga mtu kazi vs CHINA Kung Fu VS TAARIFA ZA WAMEFANYAJE MAU…AJI

Mapinduzi.JPG
Chukua kifo hichooo
Chukua kifo hichooo
1 month ago

Mandonga mtu kazi vs CHINA Kung Fu VS TAARIFA ZA WAMEFANYAJE MAU…AJI… MUU.. HAJI ZIMEBAKI SIKU NGAPI ZA KUISHI???

MAPINDUZI.JPG
Gmour Hal
Gmour Hal
1 month ago

Waganga wa kienyeji TZ

Je wanatibu kweli au wanacheza kamari na maisha ya watu?

Maelezo ya picha,
Watu wengi nchini Tanzania – na kote barani Afrika, hutafuta ushauri wa waganga wa kienyeji wanaotibu maradhi mbali mbali na kupiga kamari.Sheria za serikali na madawa ya kisasa, huenda zimebadilika , lakini waganga wa kienyeji wangalipo tena kwa sana. Mpiga picha Sasja van Vechgel alikutana na baadhi yao. Mganga huyu anaendesha kazi yake katika ‘Kitala’, kijumba kidogo anachotumia kuwapa wagonjwa dawa

Maelezo ya picha,
Baadhi ya watu kuonelea bora kutibiwa na daktari wa kienyeji kuliko daktari wa kawaida kwa kuwa na umani nao zaidi na labda kutokana na madawa ya kisasa kukosa kufanya kazi.

Maelezo ya picha,
Wanawake na wanaume wanaweza kuwa waponyaji, inategemea tu umri. Wale wanaoheshimiwa zaidi ni wale ambao jamaa wao mmoja amewahi kuwa mganga. Mwanamume huyu mwenye umri wa miaka 40 anasema yeye anawatibu wanaopooza. Yeye ni kama mchuuzi akitembeza dawa zake nyumba hadi nyumba. Wakati mwingine hutumia chumba cha hospitalini kuwatibu wagonjwa wake, ingawa hakuna thibitisho la kisayansi kuwa dawa zake zinaponya

Maelezo ya picha,
Matibabu hujumuisha mchanganyiko wa matambiko na dawa za kienyeji.Waganga wanasema kuwa wanaweza kufanya kazi yao kutokana na mwongozo wa wazee wa jadi ikiwa wamepagawa na pepo . Wao hutumia mboko wakitoa matamshi yasiyoeleweka ”Chupa hii ndio kifaa muhimu kwangu,” anasema mganga huyu mwenye umri wa miaka 88.

Maelezo ya picha,
Mgonjwa huyu ametibiwa kwa ugonjwa wa mifupa.Waganga hutumia majani au migomba ya miti inayotolewa kwa miti yenye uwezo wa kutibu. Wao huikoroga kwa pamoja na kisha kuisugua mgongoni au sehemu anayoumwa mgonjwa

Maelezo ya picha,
Baadhi ya waganga huuza vifaa mbali mbali kama pembe za wanyama. Matibabu ya waganga hawa inaweza kuwa kati ya dola 5 au nane na wakati mwingine hata miamoja kulingana na ugonjwa

Maelezo ya picha,
Baadhi ya waganga Kusini mwa Tanzania husema kuwa dawa huwa na nguvu zaidi ikiwa na sehemu ya mwili wa mtu mfano wale walio na ulemavu wa ngozi au Albino

Maelezo ya picha,
Baadhi ya wagonjwa ambao huja kwangu tayari wamekwenda hospitalini bila mafanikio. Sindano na madaya hayajaweza kuwatibu. Mganga huyu anasema kuwa ikiwa ataweza kumtibu mgonjwa vyema, habari itawafikia wagonjwa wengine. yeye hana mabango ya kutangaza kazi yake.

Maelezo ya picha,
Miongoni mwa waganga kuna misimamo tofauti kuhusu maradhi ya ukimwi. Sio waganga wote wanasema wana uwezo wa kutibu HIV, lakini mganga huyu ni mmoja wa wale wanaotibu ugonjwa huo. Anasema kuna wale wanaowashauri wagonjwa kwenda hospitalini kwa matibabu.

….

Capture1.JPG

……

Capture.JPG

mONEY
mONEY
1 month ago

TEAM YA UKARABATI ILIJENGWA NA FUNDI…. TUNAKUTAKIA URAIS MWEMA “TUTAKUSHAURI UKIWA RAIS” MAANA YAWEZEKANA KWELI RAIS HUWA ANAFANYA MAKOSA

TEAM YA UKARABATI 3.JPG
mONEY
mONEY
1 month ago

TEAM YA UKARABATI ILIJENGWA NA FUNDI…. TUNAKUTAKIA URAIS MWEMA “TUTAKUSHAURI UKIWA RAIS” MAANA YAWEZEKANA KWELI RAIS HUWA ANAFANYA MAKOSA…..

TEAM YA UKARABATI.JPG
Back to top button
9
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x