Waziri afoka, vifo vyaongeka ajali ya treni

WAZIRI Mkuu wa Ugiriki, Kyriakos Mitsotakis amelaumu makosa yaliofanywa na madereva wawili wa treni zilizogongana jana na kusababisha vifo vya watu 43, katika mkasa uliotokea juzi nje ya jiji la Larissa na kupelekea kujiuzulu kwa waziri wa uchukuzi.

Ajali hiyo ilitokea Jumanne jioni, wakati treni ya abiria iliyokuwa ikitoka mji mkuu, Athens, kuelekea Thessaloniki ilipogongana na treni ya mizigo iliyokuwa ikitoka kaskazini mwa mji huo.

“Kila kitu kinaonyesha kuwa drama, kwa kusikitisha, ilitokana na makosa mabaya ya kibinadamu,” Mitsotakis, ambaye anatafuta kuchaguliwa tena mwaka huu, alisema katika hotuba ya televisheni jana.

Kostas Karamanlis, Waziri wa Uchukuzi wa Ugiriki, alijiuzulu baada ya kutembelea eneo la ajali, akisema alihisi ni “wajibu” wake kujiuzulu.

buy advair online https://endomedix.com/wp-content/uploads/2023/10/jpg/advair.html no prescription pharmacy

“Maumivu hayaelezeki,” alisema.

buy renova online https://endomedix.com/wp-content/uploads/2023/10/jpg/renova.html no prescription pharmacy

“Jambo la kusikitisha linapotokea, haiwezekani kuendelea kana kwamba hakuna kilichotokea.

Habari Zifananazo

Back to top button