Waziri Mkuu afungua mafunzo ya awali PCCB

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Oktoba 26 anafunga mafunzo ya awali ya uchunguzi ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(PCCB) hafla inayofanyika kwenye Shule ya Polisi Tanzania, Moshi mkoani Kilimanjaro.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)