Waziri Mkuu azindua hospitali ya rufaa ya Tosamaganga

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 06, 2024 ameweka jiwe la msingi la uzinduzi wa hospitali ya Rufaa ya Tosamaganga pamoja na uzinduzi wa huduma ya mionzi katika hospitali hiyo iliyopo mkoani Iringa. Majaliwa yupo mkoani Iringa kwa ziara ya kikazi.(Picha: Ofisi ya Waziri Mkuu)