Year: 2024

Featured

219,321 kuboresha taarifa Kagera

TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imefanya mkutano wake na wadau wa uchaguzi kujadili uboreshaji wa Daftari la kudumu…

Soma Zaidi »
Tanzania

Hausigeli’ aliyemkata shingo mtoto akamatwa

DAR-ES-SALAAM: JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limemkamata msichana aliyemjeruhi mtoto kwa kumkata na kitu chenye ncha…

Soma Zaidi »
Tanzania

BoT: Serikali inakopa kwetu, inalipa

DAR-ES-SALAAM: BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imesema ina wajibu wa kuikopesha serikali mkopo wa muda mfupi usio wa kibajeti wa…

Soma Zaidi »
Featured

Yanga kuibamiza TS Galaxy leo?

MPUMALANGA: KLABU ya Yanga inashuka dimbani leo kuivaa TS Galaxy ya Afrika Kusini katika mechi ya pili ya michuano ya…

Soma Zaidi »
Fasihi

Wasomi, wanasiasa watoa neno mabadiliko serikalini

DAR-ES-SALAAM: KUNG’OLEWA katika Baraza la Mawaziri kwa wanasiasa vijana wawili, Nape Nnauye na January Makamba kumeacha gumzo, lakini wasomi, viongozi…

Soma Zaidi »
Siasa

CCM kujisajili kidigitali Zanzibar

ZANZIBAR: Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Dkt.Mohamed Said Dimwa, amewasihi wanachama wa chama hicho kujitokeza kwa…

Soma Zaidi »
Biashara

NBC yatunukiwa Tuzo ya Uwajibikaji Bora kwa Jamii

LONDON, England: BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imetangazwa kuwa Benki Bora ya Tanzania katika eneo la Uwajibikaji kwa Jamii…

Soma Zaidi »
Featured

Samia atengua vigogo TTCL, Posta, UCSAF

DODOMA: Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa viongozi sita akiwemo Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta nchini Bw. Maharage…

Soma Zaidi »
Afya

JWTZ yaahidi ushirikiano na CHINA

DAR-ES-SALAAM: Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda ametembelea meli tiba ya Jeshi la Ukombozi la Watu wa…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Jamii Lindeni Watoto – Rosa Ree

DAR-ES-SALAAM: Msanii wa miondoko ya  ‘Hip Hop,   Rosary Iwole maarufu ‘Rosa Ree’ ameungana na Watanzania kusikitika na kukemea wimbi la…

Soma Zaidi »
Back to top button