Year: 2024

Featured

Katavi kuingia umeme wa Gridi ya Taifa Sept 2024

MKOA wa Katavi unatarajiwa kuingizwa katika matumizi ya umeme wa Gridi ya Taifa ifikapo Septemba, 2024 baada ya kuikosa huduma…

Soma Zaidi »
Featured

Jafo awaagiza wakuu wa mikoa kutenga maeneo ya uwezekaji viwanda

MKURANGA: WAZIRI wa Viwanda na Biashara Dkt Suleiman Jafo amewaagiza wakuu wote wa mikoa nchini kuhakikisha wanatenga maeneo ya uwekezaji…

Soma Zaidi »
Featured

Dkt Mpango: Msitumie magari ya serikali kwenda baa

KIGOMA: MAKAMU wa Rais Dkt.Philip Mpango amewaagiza wakuu wa wilaya za mkoa Kigoma kufuata maadili ya uongozi katika kutumia magari…

Soma Zaidi »
Jamii

Watanzania washauriwa kuandika wosia kuepuka migogoro

DAR ES SALAAM: KATIBU Mkuu, Wizara ya Katiba na Sheria, Mary Makondo ametoa wito kwa Watanzania kuandika wosia ili kupunguza…

Soma Zaidi »
Featured

Jane Goodall apewa barabara Kigoma Ujiji

KIGOMA:Halmashauri ya manispaa ya Kigoma Ujiji imempa jina la barabara Mwanamazingira maarufu duniani Mama Jane Goodall kwa mchango wake katika…

Soma Zaidi »
Featured

Kairuki ataka TAWA kuongeza mapato, kudumisha ujirani mwema

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki ameitaka Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) hiyo kuhakikisha miradi ya ujirani…

Soma Zaidi »
Featured

Ni Hispania au Ufaransa kutinga fainali EURO 2024?

NUSU fainali ya kwanza ya Kombe la Mataifa ya Ulaya(EURO2024) kati ya Hispania na Ufaransa inafanyika leo huko Ujerumani. Mchezo…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Wachezaji Yanga wapimwa afya

DAR ES SALAAM; Baadhi wa wachezaji wa Yanga wakipimwa afya Dar es Salaam leo, ikiwa ni maandalizi ya kuelekea msimu…

Soma Zaidi »
Featured

Yanga kuwania Kombe Sauzi

AFRIKA KUSINI; Klabu ya Yanga ya Dar es Salaam, imealikwa kushiriki michuano ya Toyota 2024 nchini Afrika Kusini, ambapo itacheza…

Soma Zaidi »
Tanzania

‘Tabora jitokezeni uboreshaji daftari’

TABORA; Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imetoa wito kwa wananchi na wapiga kura wa mkoa wa Tabora kujitokeza kwa…

Soma Zaidi »
Back to top button