Year: 2024

Mitindo & Urembo

Millen Magese jaji mkuu Tamasha la Mavazi Samia

MWANAMITINDO wa Kimataifa Millen Happiness Magese ametangazwa kuwa Jaji Mkuu wa Tamasha la Samia Fashion litakalofanyika Novemba 30 mwaka huu…

Soma Zaidi »
Tanzania

Ndugulile kuzikwa Desemba 3 Kigamboni

MKURUGENZI Mkuu Mteule wa Shirika la Afya Dunia (WHO) Kanda ya Afrika, Faustine Ndugulile atazikwa Desemba 3, Kigamboni Dar es…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wahasibu wapewa kipaumbele katika uchumi

MHASIBU Mkuu wa Serikali, CPA Leonard Mkude amesema wahasibu wana nafasi muhimu katika mnyororo wa uzalishaji wa kiuchumi, hasa katika…

Soma Zaidi »
Tanzania

Tasac yaonya usafirishaji holela

SHIRIKA la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limewataka wamiliki na wadau wa usafiri wa majini kuepuka usafirshaji holela wa mizigo…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Israel kukata rufaa dhidi ICC

ISRAEL: SERIKALI ya Israel imepanga kukata rufaa kupinga hati ya Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu ya kumkamata Waziri Mkuu Benjamin…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

P.Diddy kutoboa kugumu

MAREKANI : MWANAMUZIKI wa nyimbo za Rap nchini Marekani, Sean Diddy Combs amenyimwa dhamana kwa mara ya tatu kwa kile…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Sudan bado mtihani – Schulze

UJERUMANI : WAZIRI wa Maendeleo ya Uchumi wa Ujerumani, Svenja Schulze amezungumzia janga kubwa la kibinadamu nchini Sudan kufuatia ziara…

Soma Zaidi »
Fedha

Vodacom, Sanlam zaja na mpango wa kuwekeza kidijitali

DAR ES ES SALAAM: Kampuni ya mawasiliano, Vodacom Tanzania Plc imeungana  kwa kushirikiana na Sanlam Investments East Africa Limited, leo…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Botswana mthibitishaji madini ya almasi

ULAYA: KUJUMLISHWA kwa Botswana kama mthibitishaji kunaonekana kukusudiwa kuokoa mpango wa utekelezaji wa kusitisha kuagiza almasi Urusi baada ya mataifa…

Soma Zaidi »
Biashara

Mawaziri EAC kujadili utengamano uchumi, biashara

Soma Zaidi »
Back to top button