Year: 2025

Bunge

Tanzania inaongoza kwa simba, nyati, chui Afrika

SERIKALI imesema Tanzania inaongoza kwa idadi ya simba, chui na nyati Afrika. Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Dustan Kitandula…

Soma Zaidi »
Bunge

Spika: Bunge likivunjwa serikali inaendelea na kazi

SPIKA wa Bunge, Dk Tulia Ackson amesema bunge likivunjwa haina maana serikali itakuwa likizo bali itaendelea na kazi yake. Alitoa…

Soma Zaidi »
Diplomasia

Samia aagiza Watanzania walio Iran, Israel kurudi nchini

RAIS Samia Suluhu Hassan ameagiza Watanzania wanaoishi Iran na Israel warudishwe nchini. Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano…

Soma Zaidi »
Featured

Majaliwa atoa maagizo 7 kwa taasisi, watumishi wa umma

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa maagizo saba kwa taasisi za umma na watumishi wa umma kwa lengo la kuimarisha utendaji…

Soma Zaidi »
Featured

Uchumi Zanzibar waimarika, Pato la Taifa lapaa

RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema Zanzibar imeimarika kutokana na utekelezaji wa malengo ya Serikali ya Awamu ya Nane…

Soma Zaidi »
Afya

Wagonjwa kuelekea Muhimbili wapungua Moro

MOROGORO: IDADI  ya rufaa ya wagonjwa kutoka Hospitali ya Rufaa Morogoro kupelekwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili imepungua. Hatua hiyo…

Soma Zaidi »
Featured

Majaliwa azindua mitambo ya uchorongaji kwa wachimbaji wadogo

WAZIRI Mku Kassim Majaliwa leo Juni 24, 2025 amezindua mitambo ya uchorongaji na vifaa vya utafiti kwa wachimbaji wadogo kupitia…

Soma Zaidi »
Featured

Mikakati inahitajika kupata soko la mwani EA

TANZANIA ni nchi pekee kati ya nane wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) inayozalisha zao la mwani kwa wingi…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Wadau: Marekebisho sheria za uchaguzi yaonesha uongozi bora

WADAU wa masuala ya siasa wamesema marekebisho ya sheria za uchaguzi yameondoa kero, kurejesha matumaini kwa wapigakura na kuonesha uongozi…

Soma Zaidi »
Jifunze Kiswahili

Jifinze Kiswahili

Word: Jicho Language: Swahili Meaning in English: Eye (singular) Origin:The word jicho comes from Bantu languages, where many body parts…

Soma Zaidi »
Back to top button