Year: 2025

Jamii

Baraka jela miaka 30 kwa kulawiti

DAR ES SALAAM: MAHAKAMA ya Wilaya ya Kinondoni imemhukumu Baraka Benedictor ,22, mkazi wa Sinza, kifungo cha miaka 30 jela…

Soma Zaidi »
Biashara

SBL yawanoa wanawake, vijana wanaosambaza vinywaji

MWANZA: Kampuni ya Serengeti Breweries Limited (SBL) kwa kushirikiana na shirika lisilo la kiserikali, Bridge for Change (BFC), imezindua programu…

Soma Zaidi »
Uwekezajia

Kamati ya Bunge yatoa neno miundombinu mabasi ya mwendokasi

DAR ES SALAAM; KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeshauri serikali kuongeza usimamizi wa ujenzi wa miundombinu ya barabara…

Soma Zaidi »
Jamii

Al Hikma kugharimia ndoa za vijana 200

DAR ES SALAAM; TAASISI ya Al Hikma imesema itagharimia ndoa za vijana 200 ili watimize maagizo ya Mwenyezi Mungu Mtukufu.…

Soma Zaidi »
Dini

Dk Mwinyi: Tanzania imeheshimika mashindano ya Kurani

DAR ES SALAAM; RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema Tanzania imepata manufaa na heshima kwa kuandaa mashindano ya 25…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Rais Kagame ailaumu Ubelgiji kuchonganisha Afrika

RWANDA : RAIS wa Rwanda, Paul Kagame, ameilaumu Ubelgiji kwa kuchonganisha Rwanda na mataifa mengine ya Afrika, na kusema yuko…

Soma Zaidi »
Chakula & Vinywaji

Askofu Niwemugizi aongoza ibada kumbukizi kifo cha JPM

GEITA; ASKOFU wa Jimbo Katoliki, Dayosisi ya Rulenge Ngara, Askofu Severine Niwemugizi ameongoza ibada ya Misa Takatifu ya kumkumbuka na…

Soma Zaidi »
Jamii

Mwanafunzi auawa kikatili Rombo

KILIMANJARO: JESHI la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia mwanamume mmoja mwenye umri wa miaka 26, mkazi wa Kijiji cha Kirwa, Wilaya…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Trump apanga kukutana Vladimir Putin

MAREKANI : RAIS wa Marekani, Donald Trump, ametangaza kuwa atazungumza na Rais wa Urusi, Vladimir Putin, kesho Jumanne kuhusu juhudi…

Soma Zaidi »
Picha

Picha: Samia ateta na Makamu Mwenyekiti Benki ya Dunia

DODOMA; Rais wa  Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa Benki ya Dunia anayeshughulikia Ukanda wa Mashariki…

Soma Zaidi »
Back to top button