Year: 2025

Featured

Samia atabiri mema nishati safi ya kupikia

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema kutokana na kasi kubwa ya utekelezaji wa mkakati wa kusambaza nishati safi ya kupikia, nchi…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Arteta awalilia Saka, Martinelli

LONDON, MENEJA wa Arsenal Mikel Arteta amesema anatumaini winga wake ukayo Saka na mshambuliaji Gabriel Martinelli watarejea kikosini kutoka majeruhi…

Soma Zaidi »
Tanzania

Rais Samia aagiza vyanzo vya maji kutuzwa

RAIS Samia Suluhu Hassan ameiagiza Wizara ya Maliasili na Utalii kushirikiana na taasisi nyingine kulinda na kutunza vyanzo vya maji…

Soma Zaidi »
Tanzania

Rais Samia ametimiza, aungwe mkono -Hapi

KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi (CCM) Taifa, Ally Hapi, (MNEC) ameandika historia wilayani kwa kupokelewa na kufanya mkutano na…

Soma Zaidi »
Tanzania

Ajali yaua wawili Morogoro, dereva atoroka

MOROGORO: JESHI la Polisi linamtafuta dereva wa basi la Kampuni ya Kasulu Express aliyekimbia baada ya kusababisha ajali iliyoua watu…

Soma Zaidi »
Tanzania

Serikali imefuta tozo 374 kwa wawekezaji

NAIBU Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Stanslaus Nyongo amesema kufuatia maelekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan,…

Soma Zaidi »
Tanzania

TIRA yabainisha magari yanavyokwamisha ukataji bima

MAMLAKA ya Usimamizi wa Bima (TIRA) imesema magari chakavu yanayotaka kukatiwa bima imekuwa kikwazo kwa taasisi hiyo katika kukubaliana na…

Soma Zaidi »
Featured

Luhemeja: Kianzishwe chombo cha fedha kuhifadhi Bioanuai

TANZANIA imesisitiza kuwa ili kuwa na uhakika wa fedha za hifadhi ya Bioanuai ni wakati muafaka sasa kuanzisha chombo maalumu…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wanafunzi Kiyanga wafundwa kuhusu masomo

MBUNGE wa Jimbo la Nanyamba mkoani Mtwara Abdallah Chikota amewataka wanafunzi katika Shule ya Sekondari ya Kiyanga iliyopo kata ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wananchi Kitaya washukuru ujenzi wa barabara

WAKAZI wa kijiji cha dindwa kata ya kitaya Halmashauri ya Mji Nanyamba mkoani Mtwara wameiskuhuru serikali kwa kuwaletea mradi wa…

Soma Zaidi »
Back to top button