Year: 2025

Diplomasia

Dk Mpango akutana na maaskofu ACEAC

Makamu wa Rais Dk Philip Mpango kwa niaba ya Rais Dk Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Shirikisho…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Twiga safi Wafcon

TWIGA Stars imefuzu hatua ya pili ya kufuzu Mataifa ya Afrika (WAFCON 2026) licha ya kutoka sare ya kufungana bao…

Soma Zaidi »
Uchumi

BoT yanunua tani mbili za dhahabu

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imenunua zaidi ya tani mbili za dhahabu ya Tanzania tangu Julai mwaka jana ikiwa ni…

Soma Zaidi »
Fedha

Samia azindua boti za bil 4/- za wavuvi Tanga

RAIS Samia Suluhu Hassan amezindua boti 35 zitakazotumiwa na wavuvi wa Mkoa wa Tanga zenye thamani ya Sh bilioni nne…

Soma Zaidi »
Jamii

Rais aitaka jamii iache ubinafsi, ifikirie vizazi vijavyo

RAIS Samia Suluhu Hassan ameitaka jamii kuyaishi kwa vitendo maneno ya Mwenyezi Mungu kwa kuacha tabia ya ubinafsi na kuvifikiria…

Soma Zaidi »
Featured

Rais Samia amegusa wengi fidia uharibifu wa wanyamapori

AKIWA mkoani Tanga katika ziara yake ya siku saba inayoendelea katika wilaya za mkoa huo, Rais Samia Suluhu Hassan alizungumzia…

Soma Zaidi »
Tanzania

Ulega aanika Samia anavyopiga kazi Ujenzi

WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema ujenzi wa Barabara ya Bagamoyo – Saadani hadi Pangani, ni pamoja na Daraja la…

Soma Zaidi »
Biashara

Barabara kuifungua Tanga kibiashara, kiutalii

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Barabara ya Bagamoyo (Makurunge) – Pangani -Saadani – Tanga inayojumuisha Daraja la Mto Pangani, itaufungua…

Soma Zaidi »
Afya

Kambi uchunguzi wa afya Muhas kuwa endelevu

CHUO Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kimesema kambi maalum ya huduma za afya inayotolewa bure kwa magonjwa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mahakama yamhukumu Luwongo kunyongwa

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es salaam iliyoketi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu mfanyabiashara, Khamis Luwonga…

Soma Zaidi »
Back to top button