Year: 2025

Featured

Serikali yapewa ushauri athari uamuzi wa Trump

SERIKALI imeshauriwa kutenga bajeti ya ziada kugharimia programu zilizokuwa zikifadhiliwa na serikali ya Marekani ili wananchi wasikose huduma zikiwemo za…

Soma Zaidi »
Featured

Samia: CCM inaaminika

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Rais Samia Suluhu Hassan amesema CCM inatimiza miaka 48 ikiwa imara, chama kikubwa…

Soma Zaidi »
Kimataifa

RAMAPHOSA : Serikali ya Muungano inayumba

JOHANESBURG : SERIKALI  ya muungano wa kitaifa ya Afrika Kusini inakumbwa na mizozo kutokana na tofauti kati ya vyama tanzu…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Kundi la kwanza la wahamiaji lapelekwa Guantanamo Bay

MAREKANI : SERIKALI ya Marekani imetuma kundi la kwanza la wahamiaji katika kizuizi cha Guantanamo Bay, hatua inayokuja baada ya…

Soma Zaidi »
Kimataifa

CONGO: Mapigano yameanza tena kusini mwa Kivu

CONGO : MAPIGANO yamezuka tena kati ya waasi wa M23 na vikosi vya serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Wafungwa 100 wa kike wabakwa na kuchomwa moto Goma

CONGO : ZAIDI ya wafungwa 100 wa kike walibakwa na kisha kuchomwa moto wakiwa hai wakati wa hali ya machafuko…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Tupo tayari kufanya mazungumzo- Iran

IRAN : WAZIRI wa mambo ya nje wa Iran, Abbas Araghchi amesema nchi yake inaweza kuwa tayari kuzungumza na utawala…

Soma Zaidi »
Afya

Aunt Ezekiel: Comfy Mummy itawafanya wanawake wajiamini

DAR-ES-SALAAM : MWIGIZAJI maarufu wa filamu na tamthilia, Aunt Ezekiel, amesema kuwa anafurahi sana kwa ujio wa taulo maalum za…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Chidumule awaomba watangazaji kusapoti muziki wa injili

DARESSALAAM : MSANII wa Muziki wa Injili nchini Cosmass Chidumule amewataka watangazaji wa wamiliki wa vyombo vya habari kuacha kutoza…

Soma Zaidi »
Tanzania

Bolt yaleta huduma ya kumsaidia dereva,abiria

DAR-ES-SALAAM : KAMPUNI ya Bolt imezindua rasmi kipengele cha “Trusted Contacts” jijini Dar es Salaam, ambacho kitawawezesha abiria na madereva…

Soma Zaidi »
Back to top button