Year: 2026

Tanzania

Tanzania yazalisha umemejua Kishapu

UJENZI wa mradi wa kuzalisha umeme kwa nishati ya jua Kishapu mkoani Shinyanga umekamilika. Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme…

Soma Zaidi »
Afya

Serikali yaita mapendekezo kupunguza gharama za matibabu

SERIKALI imeagizwa iwasilishwe mapendekezo kuhusu namna ya kupunguza gharama za matibabu kwa wananchi.

Soma Zaidi »
Africa

Deni la Taifa Kenya laongezeka

KENYA inakabiliwa na changamoto kubwa ya mzigo wa deni la taifa, jambo linalohitaji uchambuzi wa kina ili kuelewa sababu na…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mbunge atoa msaada wa vyakula, nguo kwa yatima

MOROGORO: MBUNGE wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Sheila Lukuba, amewafariji watoto yatima wanaoishi  katika Kituo  cha Dal – Ul Muslimeen…

Soma Zaidi »
Tanzania

Katambi: Tanzania amani kwanza

SHINYANGA: WAZIRI wa Mambo ya ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema Tanzania itaendelea kuwa na amani na utulivu huku akiwaonya…

Soma Zaidi »
Tanzania

TAWA yajipanga kutekeleza maono ya serikali

MOROGORO: MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imeipongeza Serikali ya Awamu ya Sita kwa kuwezesha utoaji vibali vya kuajiri…

Soma Zaidi »
Tanzania

TEWW kuendeleza usimamizi miradi ya kimkakati

MOROGORO: JUMLA ya vijana 42,000  wamenufaika na programu za muda mrefu na muda mfupi kwa kupatiwa elimu na mafunzo ya…

Soma Zaidi »
Afya

Wachimbaji Mirerani wapata zahanati

ARUSHA: ZAHANATI yenye gharama ya zaidi ya Sh milioni 180 inajengwa ndani ya ukuta wa migodi ya madini ya Tanzanite…

Soma Zaidi »
Tanzania

Taasisi Wizara ya Viwanda zatakiwa kuchochea uanzishaji viwanda

ARUSHA: Wizara ya Viwanda na Biashara ni moja ya muhimili mkuu katika ustawi wa uchumi wa Tanzania, ambapo kupitia taasisi…

Soma Zaidi »
Tanzania

Jukwaa vijana Shinyanga lazinduliwa

SHINYANGA: WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Maendeleo ya Vijana, Dk Joel  Nanauka amezindua rasmi Jukwaa la Vijana la Mkoa…

Soma Zaidi »
Back to top button