Year: 2026

Featured

Mashindano gofu hifadhi ya Serengeti yameiva

MARA; Wachezaji 81 kutoka nchi  za  Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda na Malawi wanatarajiwa kushiriki mashindano ya gofu yanayoanza  Alhamisi ya…

Soma Zaidi »
Afya

Hospitali ya kisasa kunufaisha wakazi Arumeru Magharibi

ARUSHA: WAKAZI wa Jimbo la Arumeru Magharibi mkoani Arusha wanatarajiwa kunufaika na ujenzi wa hospitali ya kisasa, ambao ni sehemu…

Soma Zaidi »
Tanzania

SACCOS zatakiwa kutumia AI kurejesha imani ya wananchi

DAR ES SALAAM: VYAMA vya akiba na mikopo (SACCOS) vimetakiwa kutumia Akili Unde na teknolojia za kisasa kuboresha usimamizi, kuongeza…

Soma Zaidi »
Biashara

Bodi yajadili maendeleo uhuishaji, utendaji TAZARA

DAR ES SALAAM; Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Reli ya Tanzania na-Zambia (TAZARA) imekutana jijini Dar es Salaam kwa…

Soma Zaidi »
Biashara

Serikali: Taasisi ziwezeshe wanawake kiuongozi

DAR ES SALAAM; Serikali imeanza utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 ikisisitiza usawa wa kijinsia, uwezeshaji wa wanawake…

Soma Zaidi »
Fedha

SACCOS zatakiwa kutoa mikopo yenye tija

DAR ES SALAAM: Vyama vya Akiba na Mikopo (SACCOS) vimetakiwa kuhakikisha mikopo inayotolewa inawawezesha wanachama kukuza biashara, kuongeza kipato na…

Soma Zaidi »
Featured

‘NSSF ni fursa ya vijana kujikwamua kiuchumi’

RUKWA; Vijana nchini wametakiwa kutumia fursa zinazotolewa na Serikali na taasisi mbalimbali, ikiwemo Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Michezo ya 19 ya bandari yafunguliwa Moro

MOROGORO; WANAMICHEZO 466 kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Bandari za Dar es Salaam, Tanga, Mtwara, Bandari za…

Soma Zaidi »
Zanzibar

Serikali, ZLS zakubaliana kuimarisha huduma za msaada wa kisheria

ZANZIBAR: Chama cha Mawakili Zanzibar (ZLS) na Wizara ya Ofisi ya Rais – Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora wamekubaliana…

Soma Zaidi »
Biashara

TBS yataka wajasiriamali vijana wazingatie viwango

RUKWA, Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limehimiza vijana wajasiriamali nchini kuzingatia viwango na ubora wa bidhaa wanazozalisha ili kuongeza ushindani…

Soma Zaidi »
Back to top button