Year: 2026

Infographics

ATCL kurejesha safari za Dar–Moscow Septemba 7

DAR ES SALAAM: Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imetangaza kurejesha safari zake kati ya Dar es Salaam na Moscow kuanzia…

Soma Zaidi »
Featured

TBS yaja na kliniki ya viwango Kariakoo, Mwenge

DAR ES SALAAM; Shirika la Viwango Tanzania (TBS), limeandaa kliniki ya viwango katika maeneo ya Soko Kuu la Biashara Kariakoo…

Soma Zaidi »
Bunge

Ujenzi Akademi ya Michezo Malya wafikia asilimia 55

DODOMA; Serikali imesema hadi kufikia Agosti, 2026 ujenzi wa Akademi ya Michezo Malya umefikia asilimia 55. Waziri wa Habari, Utamaduni,…

Soma Zaidi »
Tanzania

Bil 63/- kupeleka umeme GGM Geita

DODOMA: Naibu Waziri wa Nishati, Salome Makamba, ameshuhudia utiaji saini wa mkataba wenye thamani ya Sh bilioni 63 kati ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wakulima wa mahindi walenga magunia 20 kwa ekari

IRINGA: WAKULIMA wa kata ya Magulilwa wilayani Iringa wanatarajia kuongeza uzalishaji wa mahindi kutoka wastani wa gunia tano hadi zaidi…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mambo yamenoga tamasha la Nyangumi

MTWARA: Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Abdallah Mwaipaya, amewataka wananchi mkoani Mtwara kujitokeza na kushiriki kikamilifu katika Tamasha la Nyangumi…

Soma Zaidi »
Bunge

Vikundi vya wajasiriamali 33,594 vyanufaika mikopo asilimia 10

DODOMA; Serikali imesema katika kipindi cha mwaka wa fedha 2024/25 hadi 2025/26 jumla ya vikundi vya wajasiriamali 33,594 vilinufaika na mikopo…

Soma Zaidi »
Sayansi & Teknolojia

Shirika la Camara lazindua kituo cha kidijitali shule ya umma Nyasa

NYASA, RUVUMA: Shirika la Camara Education Tanzania limezindua rasmi kituo cha kidijitali cha kujifunzia katika Shule ya Sekondari Mkali iliyoko…

Soma Zaidi »
Africa

Tanzania, Ghana kushirikiana kuwainua wataalam wa wanajiolojia

ACCRA:  Viongozi wa Chama cha Wanajiolojia Tanzania (TGS) na Taasisi ya Wanasayansi wa Jiolojia kutoka Ghana (GhIG) wamekutana na kufanya…

Soma Zaidi »
Tanzania

NEMC yatoa maagizo saba kukabili mvua za El Niño

DAR ES SALAAM: Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limetoa maagizo saba ya haraka kwa wananchi…

Soma Zaidi »
Back to top button