Kampuni yaiunga mkono serikali suala la ajira

DAR ES SALAAM: Katika kuunga mkono juhudi za serikali pamoja na kutanua fursa ya viwanda ili kuendana na Dira 2050, Kampuni ya Sika Tanzania imewaajiri watanzania katika viwanda lengo ni kuimarisha uchumi wa nchi na maisha ya Watanzania kwa ujumla .

Hayo ameyasema Mkuu wa Kitengo  Cha Masoko na Usambazaji  Kampuni ya Sika Tanzania Sophia Assey  jijini Dar es salaam wakati wakisherehekea miaka kumi nchini Tanzania ambapo amesema uwekezaji wa viwanda hivyo una tija kwa taifa na mipango endelevu kwani jamii na nchi itanufaika navyo.

Aidha, Sophia amesema asilimia 99 ya kiwanda hicho ni watanzania  na matarajio ni kuwapa fursa watanzania kuweza kupata ajira za moja kwa moja na zisizo za  moja  kwa moja.

Naye, Dotto Damian kutokea Tika Tanzania amesema amesema tuzo aliyopata ya usalama sehemu ya kazi amesema  itaongeza hari na motisha katika utendaji wa kazi na kiwanda hicho mpaka sasa kina takribani miaka 10 nchini .

Aidha Dotto amesema Tika inaleta teknolojia kutokea Uswisi ya utengenezaji madaraja  na vitu mbalimbali ambapo watanzania watanufaika na teknolojia hiyo.

Habari Zifananazo

One Comment

  1. These indica edible gummies were a nice surprise. The flavor was haler than expected, which already made them effort in sight from a luck of functional-style gummies on the market. The packaging looked decontaminated, and the serving instructions were light to follow, which made the output pet more perfect overall. They fit logically into a daytime routine and felt serviceable to keep on С…СЌРЅРґ when something clean and straightforward was needed. Subtle texture, respectable try, and an complete effect that feels sufficiently made.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button