Brighiter Masaki

Sanaa

Watakiwa kusimamia wasanii mikoani kukuza sanaa

DAR ES SALAAM; MAOFISA Utamaduni nchini wametakiwa kuwajibika kikamilifu  kuwasimamia wasanii waliopo katika mikoa mbalimbali, ili kuhakikisha vipaji vyao vinatambulika…

Soma Zaidi »
Afya

Kwa nini kila familia inahitaji bima ya afya!

DAR ES SALAAM; KAMA wewe ni mzazi au mlezi, unajua kuwa hakuna kitu muhimu kama afya ya familia yako. Lakini…

Soma Zaidi »
Jamii

Dereva wa basi awekwa chini ya ulinzi wodini

MOROGORO; POLISI mkoani Morogoro, imemuweka chini ya ulinzi akituhumiwa uzembe na kusababisha ajali, dereva wa basi la Kampuni ya Rungwe…

Soma Zaidi »
Featured

Watu 250,000 kuhudhuria maziko ya Papa Francis

VATICAN; TaKRIBANI watu 250,000 wanatarajiwa kuhudhuria maziko ya kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis (88) keshokutwa. Maelfu ya waombolezaji…

Soma Zaidi »
Infographics

Binti aliyedai kutumwa kumuua Mpina kortini

JESHI la Polisi Mkoa wa Simiyu limemfikisha mahakamani binti aliyejitambulisha kwa jina la Pendo Paul Elikana (19) akidaiwa kutoa taarifa…

Soma Zaidi »
Featured

Ajira mpya 74,000 zaja

SERIKALI inatarajia kutoa vibali vya ajira mpya 41,500 katika mwaka wa fedha 2025/2026. Aidha, Rais Samia Suluhu Hassan juzi alitoa…

Soma Zaidi »
Siasa

Wasira: Viongozi wa dini wametutia nguvu uchaguzi mkuu

DODOMA; CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimewashukuru na kuwapongeza viongozi wa dini kwa ushauri kuhakikisha Nchi inaendelea kuwa na amani hususan…

Soma Zaidi »
Dini

PAPA FRANCIS; Taa ya unyenyekevu, amani ‘iliyozimika’

PAPA Francis ni Papa pekee (Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani), aliyeshiriki kumchagua papa (mtangulizi wake) Papa Benedicto XVI mwaka…

Soma Zaidi »
Jamii

Mwijaku kuhojiwa sakata la wanafunzi wa chuo

DAR ES SALAAM; SERIKALI imesema kijana aitwaye Mwijaku aliyetajwa kwenye video fupi kuhusu sakata la wanafunzi wa vyuo vikuu kumdhalilisha…

Soma Zaidi »
Featured

Matukio uzinduzi toleo la sheria zilizofanyiwa urekebu

DODOMA: Matukio mbalimbali wakati wa uzinduzi wa Toleo la Sheria za Tanzania zilizofanyiwa urekebu la mwaka 2023 mjini Dodoma leo…

Soma Zaidi »
Back to top button