Na Mwandishi Wetu

Tanzania

Vijiji vyote 109 Meatu vina umeme

SIMIYU: RAIS Samia Suluhu Hassani amesema Serikali imeendelea kupeleka maendeleo wilayani Meatu ikiwemo ukamilishaji wa usambazaji umeme katika vijiji vyote…

Soma Zaidi »
Tanzania

REA kufikisha umeme maeneo mengi Njombe

NJOMBE: MWENYEKITI Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Balozi Meja Jenerali Mstaafu Jacob Kingu ameihakikishia ushirikiano kampuni ya kuzalisha na kusambaza…

Soma Zaidi »
Tanzania

Watoto wenye kigugumizi Dar kufundishwa kujiamini

DAR ES SALAAM: CHAMA cha Mtindo Maalum wa Uzungumzaji Tanzania (CHAMMUTA) kitaanza kambi maalum ya watoto wenye kigugumizi itakayofanyika Dar…

Soma Zaidi »
Afya

Majaliwa ataka tafiti za tija mabadiliko sekta ya afya

DAR ES SALAAM: SERIKALI imetawaka watafiti na watunga sera kuwekeza katika tafiti zenye tija ili matokeo yake yatumike kutunga sera…

Soma Zaidi »
Afya

Bil 1/- zanunua vifaa tiba Handeni

TANGA: SERIKALI imewekeza ununuzi wa vifaa tiba vya kisasa vya Sh bilioni 1 kwenye sekta ya afya katika Halmashauri ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wanafunzi sekondari Kiluvya wafikiwa msaada wa kisheria

DAR ES SALAAM: TIMU ya Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia imewafikia wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kiluvya…

Soma Zaidi »
Tanzania

ETDCO wakamilisha kilovolti 132 Tabora – Katavi

KATAVI: KAMPUNI ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji wa Umeme (ETDCO) imekamilisha ujenzi wa laini mpya…

Soma Zaidi »
Afya

Huduma za kibingwa zafika kanda ya kati

DAR ES SALAAM: TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imepeleka huduma za kibingwa na bobezi kwa wananchi…

Soma Zaidi »
Featured

Bil 23/- zaendeleza elimu msingi, sekondari Meatu

SIMIYU: RAIS Samia Suluhu Hassan amesema jumla ya Sh bilioni 23.98 zimetolewa kwa ajili ya kuiendeleza sekta ya elimu wilayani…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Watanzania waalikwa mbio za Great Ruaha

IRINGA: Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Peter Serukamba, amewataka wananchi wa Iringa na Watanzania kwa ujumla kujitokeza kwa wingi kujiandikisha…

Soma Zaidi »
Back to top button