Grace Mkojera

Tanzania

“Viongozi wa dini wasiingilie siasa za upande mmoja”

Viongozi wa dini nchini wametakiwa kuepuka kuingilia siasa kwa namna yoyote, badala yake wajitahidi kuwa daraja la kuunganisha makundi mbalimbali…

Soma Zaidi »
Afya

Bunifu Muhas majawabu changamoto za afya

DAR ES SALAAM: SERIKALI imesema inaunga mkono bunifu mbalimbali za afya zinazofanyika Chuo Kikuu na Sanyansi Shirikishi (Muhas) ili kupata…

Soma Zaidi »
Siasa

THRDC: Polisi boresheni utaratibu wananchi kuingia mahakamani

DAR ES SALAAM: MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umetoa wito kwa Jeshi la Polisi na vyombo…

Soma Zaidi »
Tanzania

“Madini kichocheo kikubwa ukuaji uchumi”

NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema sekta ya  madini ni kichocheo kikubwa katika maendeleo ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Bil 30/- kukarabati barabara zilizoharibiwa na mvua

MOROGORO: SERIKALI ya Rais Samia Suluhu Hassan imepanga kutumia kiasi cha zaidi ya Sh bilioni 30 kukarabati barabara muhimu za…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wenyeviti wa vijiji waomba msaada wa kisheria endelevu

WENYEVITI wa vijiji vya Mtukula, Byeju, Nkerenge vilivyopo Kata Mtukula, Wilaya ya Missenyi wameishukuru serikali kwa kuona elimu ya kisheria…

Soma Zaidi »
Infographics

MSLAC watoa elimu ukatili kwa wanafunzi Missenyi

ZAIDI wa wanafunzi 700 wa Shule ya Sekondari Mtukula wamepewa elimu ya  kuwasilisha  na kuripoti matukio ya ukatili katika madawati…

Soma Zaidi »
Afya

Wauzaji dawa vyombo vya usafiri waonywa

WAUZAJI wa dawa za binadamu, vifaa tiba na mifugo wanaouza kupitia vyombo vya usafiri wameagizwa kuacha kuuza bidhaa hizo mara…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mbogwe kuibua vipaji kukabiliana changamoto ya ajira

HALMASHAURI ya Wilaya Mbogwe mkoani Geita, imezindua mashindano ya kusaka vipaji katika sekta ya sanaa na michezo kwa vijana lengo…

Soma Zaidi »
Tanzania

REST yachochea mabadiliko jumuishi kwa watu wenye ulemavu

IRINGA: KATIKA taifa linalojivunia misingi ya usawa na haki kwa wote, bado kuna maswali mengi kuhusu nafasi ya watu wenye…

Soma Zaidi »
Back to top button