Rahimu Fadhili

Tanzania

“Zingatieni lishe kwa watoto”

KIGOMA: MKUU wa Mkoa Kigoma, Thobias Andengenye amewataka wananchi wa mkoa huo kuzingatia lishe bora kwa watoto wao ili kujenga…

Soma Zaidi »
Madini

Mavunde kuongoza kongamano la Madini Geita

WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde anatarajiwa kuongoza kongamano la wachimbaji wadogo nchini linatalorajiwa kufanyika kitaifa Mei 11, 2025 katika Mamlaka…

Soma Zaidi »
Sayansi & Teknolojia

Vyuo vikuu vyashauriwa kuzingatia ubunifu, teknolojia

MOROGORO.: WIZARA ya Viwanda na Biashara imevishauri vyuo vikuu nchini kuhakikisha vinaandaa wanafunzi kuwa wabunifu kuendana na kasi ya ukuaji…

Soma Zaidi »
Tanzania

DC Mwenda atoa wiki mbili sekondari ikamilike

SINGIDA: MKUU wa Wilaya ya Iramba mkoani Singida, Suleiman Mwenda ametoa wiki mbili kwa wajenzi wa Shule ya Sekondari ya…

Soma Zaidi »
Afya

Mariam Mwinyi azindua Zanzibar Afya Week

ZANZIBAR: MKE wa Rais wa Zanzibar, Mariam Mwinyi amesema taifa linahitaji watu wenye afya bora ili kuwa mustakabali mzuri wa…

Soma Zaidi »
Siasa

CCM: Mrema, G55 karibuni

MOROGORO: CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kinawakaribisha kujiunga na chama hicho John Mrema na wenzake kutoka katika kundi la G55 waliojiondoa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Takukuru Iringa yawahoji watia nia CCM

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Iringa imesema imewahoji makada mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mpango maalum: Vijana Kagera washiriki uzalishaji kahawa

KAGERA: Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Fatma Mwassa amewasilisha mpango maalumu wa kuhakikisha vijana na wanawake mkoani Kagera wanashiriki kikamilifu…

Soma Zaidi »
Tanzania

Msumbiji kuleta wataalamu kujifunza JKCI, Muhimbili

DAR ES SALAAM: MKE wa Rais wa Msumbiji ,Gueta Selemane Chapo amesema nchi ya Msumbiji itashirikiana na Taasisi ya Moyo…

Soma Zaidi »
Tanzania

Simulizi machungu kuozeshwa utotoni

ILIKUWA safari ya takribani saa 24 kutoka Dar es Salaam hadi Kijiji cha Chasalawi kilichopo Kata ya Bupamwa wilayani Kwimba…

Soma Zaidi »
Back to top button