Sijawa Omary, Mtwara

Tanzania

Wananchi Navikole wafurahia miradi ya maendeleo

WAKAZI wa kijiji cha Navikole kata ya Chawi, Halmashauri ya Mji Nanyamba mkoani Mtwara, wameipongeza serikali kwa kuwaletea miradi mbalimbali…

Soma Zaidi »
Jamii

Wazazi washauriwa kuwekeza watoto wa kike

WAZAZI na walezi mkoani Mtwara wameombwa kuwekeza kwa watoto wa kike na wenye mahitaji maalum kwenye fursa mbalimbali za ufundi…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wananchi Nanyamba kunufaika na mradi wa umwagiliaji

WANANCHI wa Halmashauri ya Mji Nanyamba mkoani Mtwara watanufaika na mradi wa umwagiliaji wa Arusha Chini kata ya Chawi utaogharimu…

Soma Zaidi »
Afya

Hospitali ya Kibong’oto kuwa taasisi magonjwa ambukizi

Waziri wa Afya, Jenista Mhagama amesema Hospitali Maalum ya Tiba ya Magonjwa Ambukizi Kibong’oto inatarajiwa kuwa Taasisi ya Magonjwa Ambukizi…

Soma Zaidi »
Infographics

Wanafunzi washauriwa kununua vitabu mitaala mipya

TAASISI ya Elimu Tanzania (TET)imetoa rai kwa wazazi na walezi wenye watoto wanaosoma madarasa ya awali, msingi, sekondari ,vyuo pamoja…

Soma Zaidi »
Tanzania

Bil 46/- zachochea uchumi Kibondo

KIGOMA: SERIKALI ya Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma imesema Sh bilioni 46.4 zilizotolewa na serikali zimetekeleza miradi mikubwa ya kijamii…

Soma Zaidi »
Tanzania

Kampeni Mama Samia kutoa mawakili kesi za wananchi

ARUSHA: WIZARA ya Katiba na Sheria imetuma mawakili wa serikali takribani 50 ambao kwa siku nane mfululizo watakuwa mkoani Arusha…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mwanafunzi afariki dunia stendi akisubiri basi

MOROGORO: MWANAFUNZI wa mwaka wa kwanza wa Chuo Kikuu cha Jordan kilichopo mkoani Morogoro Magnos Mkinga ,22, amefariki dunia ghafla…

Soma Zaidi »
Madini

Gerema yaonya wachochezi migogoro migodini

SHIRIKISHO la Wachimbaji Wadogo Mkoa wa Geita (GEREMA) limewaonya watu wenye tabia ya uchochezi wa migogoro kwenye maeneo ya wachimbaji…

Soma Zaidi »
Wanawake

Vijana wa kike washauriwa kujiwekeza

VIJANA wa kike wameshauriwa fedha wanazopata watumie kufanya uwekezaji  ili kuwajengea uwezo wa kujitegemea kwa ajili ya maisha yao ya…

Soma Zaidi »
Back to top button