Dotto Lameck

Featured

Kabudi atoa maagizo 7 bodi ya ithibati wanahabari

DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi, ametoa maagizo saba kwa Bodi ya Ithibati…

Soma Zaidi »
Afya

Kitengo ENT hospitali Bukoba chatoa elimu huduma za usikivu

HOSPITALI ya Rufaa ya Mkoa wa Bukoba, kupitia Idara ya Sikio, Pua na Koo (ENT) imeadhimisha Siku ya Usikivu Duniani…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mbunge afanikisha ujenzi jengo la wajawazito

MBUNGE wa Jimbo la Buhigwe Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma, Felix Kavejuru amekabidhi mabati 87 kwa zahanati ya kijiji cha…

Soma Zaidi »
Infographics

Wanawake NM-AIST waanza kunogesha siku ya wanawake

WANAWAKE wa  Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST) wameungana  na wanawake wengine jijini Arusha kushiriki…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wananchi wamshukuru Samia kampeni msaada wa kisheria

ARUSHA: WANANCHI wanaoendelea kupata msaada wa kisheria kupitia kampeni ya ‘Mama Samia Legal Aid Campaign’ mkoani Arusha wamemshukuu Rais Samia…

Soma Zaidi »
Gesi

Kituo cha kujaza gesi CNG chakamilika asilimia 90

BODI ya Wakurugenzi na Menejimenti ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania(TPDC) imesema kituo mama cha kushindilia na kujaza gesi…

Soma Zaidi »
Tanzania

Watumishi Chato watakiwa kuondoa matabaka kazini

WATUMISHI wa taasisi tofauti ndani ya Halmashauri ya wilaya ya Chato wametakiwa kuondoa matabaka ya kiutendaji baina yao ili kuimarisha…

Soma Zaidi »
Tanzania

DC Longido aisifu wizara msaada wa kisheria bure

ARUSHA: MKUU wa Wilaya ya Longido, Salum Kalli amesifu juhudi za wizara ya Katiba na Sheria kwa kuwaletea wananchi huduma…

Soma Zaidi »
Tanzania

Asilimia 91 ya Saccoss Geita hali mbaya

MKOA wa Geita umebainisha kuwa jumla ya Vyama vya Ushirika vya Akiba na Mikopo (SACCOS) 195 sawa na asilimia 91…

Soma Zaidi »
Tanzania

Kabudi azindua bodi ya ithibati ya waandishi wa habari

DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi, ameizindua rasmi Bodi ya Ithibati ya Waandishi…

Soma Zaidi »
Back to top button