Rahimu Fadhili

Tanzania

Bodi ya usajili ya uchukuzi njiani kuanzishwa

DAR ES SALAAM: Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, amesema Serikali itachukua hatua za kuimarisha taaluma ya uchukuzi nchini, ikiwemo kuharakisha…

Soma Zaidi »
Sayansi & Teknolojia

Serikali yawaendeleza wabunifu 70

DAR ES SALAAM: Serikali imesema imefanikiwa kuwaendeleza wabunifu 70 waliotokana na mashindano ya Sayansi na Teknolojia (MAKSATU), huku ikiwa katika…

Soma Zaidi »
Fedha

IMF yaipa tano TRA

DAR ES SALAAM: Ujumbe wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) ukiongozwa na Thabo Letjama umekutana na kufanya mazungumzo na Menejimenti…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Mkakati mpya wa Macron Afrika wajaribu ushawishi uliopotea wa Ufaransa

UFARANSA: RAIS wa Ufaransa, Emmanuel Macron, anakabiliwa na changamoto kubwa ya kidiplomasia wakati nchi hiyo ikijaribu kujenga upya uhusiano wake…

Soma Zaidi »
Tanzania

TISEZA, TLS–AYL kuboresha huduma za kisheria wawekezaji

DAR ES SALAAM; Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalumu ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) imesaini makubaliano ya ushirikiano wa miaka mitatu…

Soma Zaidi »
Tanzania

Shule ya Msingi Mwananyamala B yakabidhiwa madawati

Klabu ya Rotary imekabidhi madawati 150 kwa Shule ya Msingi Mwananyamala B, jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

RC Kheri atangaza vita dhidi ya utapiamlo Iringa

IRINGA: MKOA wa Iringa umeingia katika hatua nyingine ya mapambano dhidi ya utapiamlo na lishe duni baada ya Mkuu wa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mbinga yaanza ukarabati barabara

RUVUMA: MKURUGENZI Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga, Joseph Kashushura, ametangaza mpango wa kurekebisha na kuimarisha miundombinu ya barabara, akilenga…

Soma Zaidi »
Tanzania

Kituo kipya cha mabasi kumaliza msongamano Arusha

ARUSHA: Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Amos Makalla, amesema kukamilika kwa mradi wa ujenzi wa Kituo cha Mabasi Mkoa wa…

Soma Zaidi »
Afya

Makubaliano ya Afya Tanzania, Marekani yabadili Diplomasia ya afya Afrika

TANZANIA: Ushirikiano mpya wa afya kati ya Tanzania na Marekani umevuka mipaka ya makubaliano ya kawaida ya misaada, na sasa…

Soma Zaidi »
Back to top button