Na Cyprian Magupa ,Mwanza

Tanzania

Aweso ataka usimamizi bora mradi wa maji Butimba

WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso ameitaka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mkoa wa Mwanza (MWAUWASA) kusimamia utaratibu wa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Sare sio kigezo mtoto kutokwenda shule

WAZAZI na walezi mkoani Mtwara wametakiwa kuwapeleka watoto wao shule hata kama wahawajakamilisha utaratibu wa upatikanaji wa sare. Akizungumza wilayani…

Soma Zaidi »
Tanzania

Sekondari Njombe yavunja rekodi udahili wa wanafunzi

IDADI ya udahili wa wanafunzi katika shule ya sekondari ya Bweni ya Yakobi iliyoko mkoani Njombe imeongezeka kutoka wanafunzi 105…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mabasi kutoka Arusha kwenda mikoani kuwa na tiketi mtandao

MENEJA wa Mamlaka ya Udhibiti na Usafiri Ardhini (LATRA) Mkoa wa Arusha, Michael Joseph amewataka wamiliki wa vyombo vya usafiri…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wanafunzi 32,000 waanza masomo Arusha

WANAFUNZI  32,000 wa darasa la kwanza wameanza masomo katika Halmashauri ya Jiji la Arusha katika mwaka wa masomo 2024/25 idadi…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wanahabari wapewa somo uwasilishaji taarifa

WAANDISHI wa habari kutoka Lindi na Mtwara wameaswa kuepuka uposhaji wa makusudi wanapowasilishwa takwimu pamoja na taarifa wanazozipeleka kwa Wananchi.…

Soma Zaidi »
Tanzania

RPC Mwanza asifu utendaji kazi mwaka 2023

KAMANDA wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Wilbroad Mutafungwa amewapongeza maafisa, wakaguzi na…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Waliokufa kwa tetemeko la ardhi wafikia 161 Japan

IDADI ya watu waliokufa kutokana na tetemeko la ardhi lililosababisha uharibifu mkubwa Siku ya Mwaka Mpya nchini Japan imeongezeka kufikia…

Soma Zaidi »
Africa

Wachimba migodi 15 waokolewa Zimbabwe

KIKOSI cha waokoaji jana Jumapili kimewaokoa wachimbaji wote 15 wa mgodi wa kujikimu walionasa chini ya shimo katika mgodi wa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mbunge: Watanzania tumuombee Rais Samia

WATANZANIA wamehamasishwa kuendelea kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan ili aweze kutekeleza na kukamilisha miradi ya maendeleo anayotekeleza. Rai hiyo imetolewa…

Soma Zaidi »
Back to top button