Na Ester Takwa

Tanzania

Tanzania nafasi ya pili uzalishaji tumbaku 2022/2023

TANZANIA imetajwa kuwa nchi ya pili barani Afrika kwa uzalishaji wa tumbaku kwa mwaka 2022/2023. Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe…

Soma Zaidi »
Tanzania

Tani 50,000 za sukari kuingia Tanzania

SERIKALI imeruhusu kuingizwa nchini kwa tani 50,000 za sukari kwa mwezi wa Januari na Februari kama njia ya kutatua tatizo…

Soma Zaidi »
Tanzania

Meli za mizigo zaongezeka bandarini

MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA) imesema kutokana na maboresho na mikakati inayofanywa na Serikali kumefanikisha kuongezeka maradufu kwa…

Soma Zaidi »
Zanzibar

Serikali Zanzibar yaanzisha kituo elimu mjumuisho

ZANZIBAR, Serikali ya Zanzibar imeendelea kuweka kipaumbele kwa watu wenye ulemavu kwa kuweka msisitizo katika kuboresha mazingira ya elimu kwa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Kapinga awapa maagizo TGDC

NAIBU Waziri wa Nishati, Judith Kapinga ameitaka kampuni ya Uendelezaji wa Joto Ardhi Tanzania (TGDC) kuzalisha umeme kwa kutumia rasilimali…

Soma Zaidi »
Tanzania

ZSTC kutumia jengo la Karafuu House

RAIS Samia suluhu Hassan amelitaka Shirika la Taifa la Biashara la Zanzibar (ZSTC) kulitumia kibiashara jengo la kitega uchumi la…

Soma Zaidi »
Infographics

Soko la karafuu kimataifa ni uhakika

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema serikali kupitia balozi zake na majukwaa mbalimbali yataendelea na jitihada za kufungua masoko ya zao…

Soma Zaidi »
Infographics

Korea Kusini yapiga marufuku ulaji nyama ya mbwa

BUNGE nchini Korea Kusini limepitisha sheria mpya inayolenga kukomesha uchinjaji na uuzaji wa nyama ya mbwa ifikapo 2027. Sheria hiyo…

Soma Zaidi »
Tanzania

TIC kuweka mazingira safi uwekezaji

SERIKALI kupitia Kituo cha uwekezaji Tanzania (TIC) imeeleza kuwa itaendelea kuweka mazingira rafiki na wezeshi kwa wawekezaji wa Kitanzania ili…

Soma Zaidi »
Jifunze Kiswahili

Jifunze Kiswahili

DUKANI Tatu aliwaambia watoto wake waende dukani kunununa vitu.Chausiku alisema ,”Mama nitakwenda peke yangu dukani siogopi kitu”Mashaka alivyosikia vile alifurahi…

Soma Zaidi »
Back to top button