Na Mwandishi Wetu

Utalii

Utalii wa michezo waibu fursa za kiuchumi nchini

NJOMBE: BODI ya Utalii Tanzania (TTB), imesema utalii wa michezo umeendelea kuwa nguzo muhimu ya kuongeza mapato kwa jamii zinazozunguka…

Soma Zaidi »
Tanzania

Shigella: Wakurugenzi mtabeba gharama za intaneti ofisini

GEITA: MKUU wa Mkoa wa Geita, Martine Shigella ameagiza waajiri ikiwemo wakurugenzi wa halmashauri kugharamia huduma ya intaneti kwa watumishi…

Soma Zaidi »
Tanzania

Vituo ukaguzi vyombo vya moto kujengwa mikoa 26

DAR ES SALAAM: MKATABA wa PPP wenye thamani ya Dola za Marekani milioni 116 umesainiwa kati ya Shirika la Uzalishaji…

Soma Zaidi »
Tanzania

Ripoti ya Jaji Chande yatajwa kufichua mambo matano makubwa

IRINGA: Ripoti ya Tume iliyoongozwa na Jaji Mohamed Chande Othman imeendelea kuzua mjadala mkubwa nchini, huku mchambuzi wa masuala ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

‘Drones’ kudhibiti wahalifu misitu ya hifadhi

KILIMANJARO: WAKALA wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS),unaendelea na utaratibu wa kutumia mifumo ya teknolojia za kisasa zikiwemo za ndege…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Wazee wajitosa kushiriki mashindano ‘West Kill Forest’

KILIMANJARO: WANAMICHEZO na wapenzi wa utalii ikolojia zaidi ya 350 wakiwemo wazee wenye umri mkubwa wamejitokeza kujisajili ili kushiriki mashindano…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wanafunzi wa kike Moro wanolewa ujasiriamali

MOROGORO: TAASISI ya  Kumbukumbu ya Celina Kombani iliyopo mkoani Morogoro imeazisha mradi  kufundisha ujasiliamali mdogo kwa wanafunzi wa kike unaolenga …

Soma Zaidi »
Tanzania

Serikali yasisitiza ushiriki wa vijana Dira 2050

DODOMA: Serikali imesisitiza kuwa, Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 inatoa kipaumbele cha pekee kwa ushiriki wa vijana katika maendeleo,…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mpogolo awapiga mkwara makandarasi Ilala

DAR ES SALAAM: MKUU wa Wilaya ya Ilala, mkoani Dar es Salaam, Edward Mpogolo, ametoa onyo kali kwa wakandarasi wote…

Soma Zaidi »
Tanzania

Madiwani Tandahimba wakumbushwa ukusanyaji mapato

MTWARA: MADIWANI wa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara wamekumbushwa kuhakikisha wanahusika katika suala la ukusanyaji wa mapato kwenye…

Soma Zaidi »
Back to top button