Azam yawapa raha Watanzania
ZANZIBAR; TIMU ya Azam FC ya Dar es Salaam, imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya AS Maniema mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar , hivyo kwa ushindi huo Azam imefikisha pointi tisa.