Biashara

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

‘Milango uwekezaji nishati safi ipo wazi’

‘Milango uwekezaji nishati safi ipo wazi’

NAIBU Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Prof. Peter Msoffe amesema milango ya uwekezaji wa nishati safi ya…
Ujumbe wa Burundi watua Dar kujifunza PPP-CENTRE

Ujumbe wa Burundi watua Dar kujifunza PPP-CENTRE

Dar es Salaam: Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPP-CENTRE) kimepokea ujumbe kutoka Wakala wa Usimamizi…
Wanawake wanavyochangamkia kilimo ikolojia kuzalisha mazao ya asili

Wanawake wanavyochangamkia kilimo ikolojia kuzalisha mazao ya asili

KILIMO ikolojia ni mfumo wa ukuzaji mimea au mifugo kwa njia jumuishi inayowezesha kufikia ustawi wa kijamii kimahitaji, kimazingira na…
Mafunzo ukusanyaji taarifa za viwanda yaanza Arusha

Mafunzo ukusanyaji taarifa za viwanda yaanza Arusha

ARUSHA;  Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Dk Hashil Abdallah, amesema  serikali imejipanga vema kuhakikisha changamoto ya ajira kwa…
Tafiti 128 kutumika kusaidia wafanyabiashara

Tafiti 128 kutumika kusaidia wafanyabiashara

TAFITI 128 zilizolenga mada ya biashara na uchumi himilivu kwa ajili ya maendeleo jumuishi nchini Tanzania na nchi zinazoizunguka zimewasilishwa…
TRA yaahidi kulinda biashara

TRA yaahidi kulinda biashara

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema itashirikiana na wafanyabiashara kulinda biashara ili ziendelee kukua. Kamishna Mkuu wa TRA, Yusuph Mwenda…
Mikono ya vijana ‘ijenge nyumba’ yao si kuibomoa

Mikono ya vijana ‘ijenge nyumba’ yao si kuibomoa

WADAU mbalimbali wa maendeleo kwa nyakati tofauti wanazungumzia nafasi na umuhimu wa nguvukazi ya vijana kujenga nyumba yao (taifa), badala…
Manufaa lukuki utafiti wa mafuta, gesi Bonde la Eyasi Wembere

Manufaa lukuki utafiti wa mafuta, gesi Bonde la Eyasi Wembere

“TUMELETA vifaa vya kisasa na vya kutosha zikiwemo mashine zaidi ya 20 za kuchimba kwenye maji na tumeongeza wataalamu kutoka…
Hongera EAC ukuaji mzuri wa biashara 2025

Hongera EAC ukuaji mzuri wa biashara 2025

KATIKA gazeti la HabariLEO kuna habari kuhusu biashara ndani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kupanda hadi kufikia thamani ya…
RC Katavi Aonya Kupandisha Bei

RC Katavi Aonya Kupandisha Bei

MKUU wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko, amewataka wafanyabiashara mkoani humo kutochukua kipindi cha baada ya uchaguzi kama kisingizio cha…
Back to top button